AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu Spika Tulia Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.
Nakukutanisha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
pole mbowe naona umevimbiwa mmezoea ninyi wapinzani pole kwendeni zenu kwani nani anawahitaji
ReplyDeleteuwe na imani usiwe na imani umujilimbikizia mimali utajijuuuuuuuuuuuuu huna akili
ReplyDeletetokeni tu kwani mkitoka mnafikili mnamtisha nani? kwendei kule hatuwahitaji
ReplyDeleteuwepo wenu bunguni ni sawa na sukari ukamwage baharini ukizani bahari itkolea sukari, mmevimbiwa nini muwepo msiwepo kimpango wenu
ReplyDeleteKAMA DJ VILE
ReplyDeleteHilo ndilo tatizo kubwa la kufanya kazi kwa mazoea sasa hayo ndio matokeo yake.
ReplyDeleteEmbrace changes! With JPJM. otherwise you will 😊 be left 👈 behind..your behavior and attitude will define your achievement and success..upo Mbowe!!!! Tunataka maendeleo na siyo siasa Zenu Uchwara na posho tunakata kwa watokao wote...wizi WA kimacho macho tunaukataa...usituibie na kundi lako wwewe ringleader..kaa chonjo saa mbaya Mama Tulia Yuko TULI
ReplyDeleteHivyo wewe ulisha funga mashine za VAT.. Maanake Ni lazima TRA tuhakuki na leseni zote ziko Valid??
ReplyDelete