Video: Mange Kimambi Anasema Uhuru wetu ni Muhimu Sana Kuliko Mabilioni Anayookoa Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wote ambao bado mmelogeka Na majipu ya JPM mpaka hamuoni hatari kubwa itakayotokea huko mbeleni kutokana Na Bunge kuzimwa tutawaweka kwenye sala zetu ili Mpate kuamka usingizini before it's too late and join with us. .

Yoyote anae support JPM kuminya Bunge La Tanzania atakuwa hajaenda shule Na Kama ameenda shule itakuwa hakusoma masomo ya history Au politics Maana Kama umesoma masomo hayo ungekuwa unajua kabisa serikali yoyote ya kidemokrasia inapoanza ku-silence vyama vya upinzani Kwa namna yoyote ile that country is going down the drain. Vyama vya upinzani Ni watanzania pia so Kama JPM anaweza kuwanyanyasa hao trust me eventually yoyote Yule ambae hatokubaliana Na JPM will meet the same fate! Trust me on that one.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naunga mkono hoja. Huu utawala hauni kama watanzania wana haki ya kupata taarifa.

    ReplyDelete
  2. ushauri wangu kwa rais ni atafute watu wasomi wamshauri sio kutafuta sifa na awasikilize wanannchii wake wanataka nini?kuna haja gani ya kuongoza nnchi if people hate you.atofautishe kumkontro mmke wake na watanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna adabu chizi wewe hayo ya mke wake yanatoka wapi????? kama siyo uchizi wa kufikiri

      Delete
  3. Wewe malaya mange unaongea usichokijua, sio magufuli anaetumbua majipu nenda kasome ilani ya Ccm. pumbavu wee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na minywele yako feki. Toka hapaaa

      Delete
  4. UMEONGEA POINT MANGE!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Changudoa wa enzi zileee Dubai. hahaha

      Delete
  5. mange mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani, awamu ya nne ulisema jk kauza nchi sasa hivi jpm anahangaika kurekebisha mambo una sema hata akoe mabilioni mangapi hatasaidia chochote kama bunge halitaonyeshwa live. Pumbavu sana wewe, hiyo live bunge itasomesha wanafunzi bure? au itatengeneza barabara? shenzi mkubwa wewe ndo maana huishi kutukanwa kila siku kwa upumbavu wako. kila siku wewe wa kukosoa tu wewe una uzuri gani ama umeitendea nini nchi yako mbwa koko weee

    ReplyDelete
  6. well said mange! kuna watu wametumwa kuchafua hali ya hewa bahati nzuri hakuna kupigana mitama humu.

    ReplyDelete
  7. Kama ni uhuru WA habari mange anza kusema kuhusu ndoa yako
    Tunasikia mengi siku hizi umenyamaza kimya wala hugusii
    Biashara ya nguo vipi?
    Tunamiss nguo zako Au umejuwa tumeshtuka watejaaaaaa
    Ya Tanzania tuwachie wabongo bibi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha ndoa mbona imeota mbawa long time !! Biashara ya nguo chali. Mtaji kwishney. Kaambulia kuzalishwa tu hahaha. Boke ana sura ya kijijiniii. Domo na pua ndio usiseme. Mweusi kaa chungu cha kafara.mchxxxx

      Delete
  8. Huyo dada mbona hasomeki,na nywele zake kama ametoroka milembe hospital

    ReplyDelete

Top Post Ad