Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu swali huku amelewa Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais  wa Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania Dr. John P. Magufuli jana  alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga  kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.

Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo  akijibu swali huku amelewa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona kaongea vizuri tu jamani kosa moja kazi huna maisha gani haya sasa hamna warning la barua ???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Warning ya ulevi??? Hivi ni kweli mtumishi mzima wa Serikali tena Waziri unaingia Bungeni kutoa hotuba huku umelewa ukitegemea warning??? Sasa kama ndio hivyo Nchi nzima itajaa ma warning.

      Delete
  2. This is a very strong 💪 message with a warning ⚠ that..DODOMA is meant to achieve the planned Goals in the march towards progress on all fields..and we need performance and dedication and high degree of discipline..only then we can assist our beloved Baba JPJM..MACHEZO HATUTAKI HASA KATIKA KUTIMIZA MALENGO UA KUTUTUMIKIA..NYAMA CHOMA KULA LAKINI NA HAKIKISHA UKI TIMA.U NA ALERT..KUULETA MAENDELEO...

    ReplyDelete
  3. Wako wengi sana bungeni,utakuta wengine wanaendelea na bunge wengine wako kwenye majumba ya starehe wanapiga ulaji na machangudoa

    ReplyDelete
  4. kitwanga kimemtwanga

    ReplyDelete
  5. Hiyo video imepangwa. Mbona wengine hatuoni

    ReplyDelete

Top Post Ad