AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo akijibu swali huku amelewa
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mbona kaongea vizuri tu jamani kosa moja kazi huna maisha gani haya sasa hamna warning la barua ???
ReplyDeleteWarning ya ulevi??? Hivi ni kweli mtumishi mzima wa Serikali tena Waziri unaingia Bungeni kutoa hotuba huku umelewa ukitegemea warning??? Sasa kama ndio hivyo Nchi nzima itajaa ma warning.
DeleteThis is a very strong 💪 message with a warning ⚠ that..DODOMA is meant to achieve the planned Goals in the march towards progress on all fields..and we need performance and dedication and high degree of discipline..only then we can assist our beloved Baba JPJM..MACHEZO HATUTAKI HASA KATIKA KUTIMIZA MALENGO UA KUTUTUMIKIA..NYAMA CHOMA KULA LAKINI NA HAKIKISHA UKI TIMA.U NA ALERT..KUULETA MAENDELEO...
ReplyDeleteWako wengi sana bungeni,utakuta wengine wanaendelea na bunge wengine wako kwenye majumba ya starehe wanapiga ulaji na machangudoa
ReplyDeletekitwanga kimemtwanga
ReplyDeleteHiyo video imepangwa. Mbona wengine hatuoni
ReplyDelete