Zitto Kabwe, Lissu, Lema na Halima Mdee Kusimamishwa Ubunge Kisa Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zito ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook :

"Wabunge wafuatao tunajadiliwa kusimamishwa kazi za Bunge kwa vipindi tofauti tofauti. Wabunge hao ni Tundu Lissu,Godbless Lema, Halima Mdee, John Heche, Esther Bulaya na Mimi. Kosa letu ni kutaka Bunge lionyeshwe moja kwa moja na televisheni ya Taifa" Zitto Kabwe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhe. Kuwa mkweli matatizo mnataka sifa wala siyo kulitumikia Taifa

    ReplyDelete
    Replies
    1. hawataki sifa wala nini, ila ni kwasababu wanaongea point sasa na unajua vile ukweli unauma!! tutawamiss kwa kweli sisi watz ni waoga tungeandamana kushinikiza kupinga hilo.

      Delete
    2. Utaandamana wapi wewe kichaaa. Somo sheria na taratibu na miongozo ya Bunge kabla ya kuja huku na kubwabwaja hovyohovyo. Tumia akili wewe. Bunge sio eneo la kupindisha miongozo yake hata kama unaongea point kwa kiasi gani haijalishi. Mtaisoma namba mwaka huuu....

      Delete
    3. Ama kweli!! wewe umemuona ana pointi huyu !! au mko kijiwe kimoja... Ni utumbo ukosefu wa nidhamu na kuleta mijadala ambayo tija haipo na haitoonekana.. Ikimchukulia kama alivyo ni kijana asiye na Majukumu ya kifamilia na irresponsible ila magazeti yetu yameweza kumpa Airtime to an extent ..ni lazima alete skendo ya ubishani pasi na mwelekeo basi ni vurugu vurugu tu.. Jaribu kuangalia kikao cha pili cha bunge la kumi na moja uone how arrogant he acts na alimkuta Chege anasubira sana.. Misbeheviour un controllable arrogant and moreover he did what he want to an extent kuwaonyesha wabunge wenzake kuwa angalieni huyu hanielewi na mimi simuelewi .. Ameshindwa kujitambua kuwa yuko pale kwa ajili ya nini na anetegemewa kuwa nimfano wa kivipi kwa wananchi na kwa wote wanaolijua bunge la utaifa na matkwa ya wananchi juu yao..Tena mdau tuombe na tru mungu kwamba mwenye fikira potofu kama yako ya kuleta shinikizo la kutushauri kuwa tuingie barabarani kuamdamana!!! Wewe hunaA nia njema na nchi.. Amani na utulivu tuliokuwa nao katika nchi yetu nadhani hakuna mfano wake hapa Afrika na Upendo na Ustaarabu Tanzania inasifika na ukitaka kujua toka nje ya nchi ndiyo utajua na kumshukuru mungu kwa haya... Nakuomba upumzike na ukae kimya mkosa usalama katika Roho yako na Mbinu za KUHUJUMU AMANI NA KUMWANGUSHA BABA JPJM.. SISI TUKO NA BEGA KWA BEGA ... NA HIZI FIKRA POTOFU MWANZO NA MWISHO...ANGALIA NCHI ZA JIRANI NA MATAIFA YALIYO ANZA FIKIRA KAMA ZAKO ZA KUINGIA BARABARANI LEO ZIMESAMBARATISHA FAMILIA MTOTO HAJUI BABA WALA MAMA WAKO WAPI WANAISHIA KAMBI ZA WAKIMBIZI KUNUSURISHA ROHO ZAO... JE WEWE UNAIONA HII PICHA... AU HUNA MKE NA WATOTO NA WAZAZI... KUWA MZALENDO WA KUTAKIA KHERI TAIFA NA SIVINGINEVYO KAMA UNAVYO DHIHIRISHA UFISADI WA NAFSI YAKO... BADILIKA MDAU... SISI NI MIMI NA WEWE WA KUIJENGA NCHI HII... VIONGOZI WANATUELEKEZA LAKINI UWAJIBIKAJI NI MIMI NA WEWE.. KWA UAMINIFU NA UADILIFU...BABA JPJM NI LAZIMA TUMSAIDIE LAKINI SI KWA HISIA ZAKO.

      Delete
    4. Ama kweli!! wewe umemuona ana pointi huyu !! au mko kijiwe kimoja... Ni utumbo ukosefu wa nidhamu na kuleta mijadala ambayo tija haipo na haitoonekana.. Ikimchukulia kama alivyo ni kijana asiye na Majukumu ya kifamilia na irresponsible ila magazeti yetu yameweza kumpa Airtime to an extent ..ni lazima alete skendo ya ubishani pasi na mwelekeo basi ni vurugu vurugu tu.. Jaribu kuangalia kikao cha pili cha bunge la kumi na moja uone how arrogant he acts na alimkuta Chege anasubira sana.. Misbeheviour un controllable arrogant and moreover he did what he want to an extent kuwaonyesha wabunge wenzake kuwa angalieni huyu hanielewi na mimi simuelewi .. Ameshindwa kujitambua kuwa yuko pale kwa ajili ya nini na anetegemewa kuwa nimfano wa kivipi kwa wananchi na kwa wote wanaolijua bunge la utaifa na matkwa ya wananchi juu yao..Tena mdau tuombe na tru mungu kwamba mwenye fikira potofu kama yako ya kuleta shinikizo la kutushauri kuwa tuingie barabarani kuamdamana!!! Wewe hunaA nia njema na nchi.. Amani na utulivu tuliokuwa nao katika nchi yetu nadhani hakuna mfano wake hapa Afrika na Upendo na Ustaarabu Tanzania inasifika na ukitaka kujua toka nje ya nchi ndiyo utajua na kumshukuru mungu kwa haya... Nakuomba upumzike na ukae kimya mkosa usalama katika Roho yako na Mbinu za KUHUJUMU AMANI NA KUMWANGUSHA BABA JPJM.. SISI TUKO NA BEGA KWA BEGA ... NA HIZI FIKRA POTOFU MWANZO NA MWISHO...ANGALIA NCHI ZA JIRANI NA MATAIFA YALIYO ANZA FIKIRA KAMA ZAKO ZA KUINGIA BARABARANI LEO ZIMESAMBARATISHA FAMILIA MTOTO HAJUI BABA WALA MAMA WAKO WAPI WANAISHIA KAMBI ZA WAKIMBIZI KUNUSURISHA ROHO ZAO... JE WEWE UNAIONA HII PICHA... AU HUNA MKE NA WATOTO NA WAZAZI... KUWA MZALENDO WA KUTAKIA KHERI TAIFA NA SIVINGINEVYO KAMA UNAVYO DHIHIRISHA UFISADI WA NAFSI YAKO... BADILIKA MDAU... SISI NI MIMI NA WEWE WA KUIJENGA NCHI HII... VIONGOZI WANATUELEKEZA LAKINI UWAJIBIKAJI NI MIMI NA WEWE.. KWA UAMINIFU NA UADILIFU...BABA JPJM NI LAZIMA TUMSAIDIE LAKINI SI KWA HISIA ZAKO.

      Delete
    5. Wewe anony 10.36PM.. Unikome wewe mwenyewe ndio kichaa, chizi, hujielewi, kupe wala huna uchungu na watz wala watetea haki za watz unajifiria masilahi ya tumbo lako na familia yako tu!! niliposema kuandamana kimekuchoma eh!! shetani wa head mwenye miguu miwili, ngozi ya kondoo ndani mbwa mwitu mkali. Ushindwe na upotelee kuzimu ulikotokea kwa jina la Yesu aliye hai. Amen

      Delete
  2. Utashangaaa sana na ukichaaa wako. Sasa nenda huko Kigoma ukapige zile kelele zako zilizojaa maupuuzi. Utaisoma namba sana mwaka huu.

    ReplyDelete
  3. Kwani wewe hauna cha maana zaidi huko bungeni zaidi ya kutaka uonyeshwe live ili tukuone. Hatukukuchagua kwa hilo ila tulikuchagua uende bungeni ukatoe point za kuleta maendeleo kama elimu, afya, kuinua maskini wapate mitaji. Sasa utakaa kijiweni na kuuza dagaa wa Kigoma. Karibu mtaani Zitto

    ReplyDelete
  4. Kama kawaida yako umeyaleta maupuuzi yako huku Facebook kwa kufikiria kuna watu watakuonea huruma. Utashangaaaa. Mwenzenu Tundu Lissu ni mwanasheria ataenda huko na ku practice career yake. Sasa mwenzangu na mimi unayetegemea domo lako ili upate ugali sijui ndio utafanya nini. Nenda Shule bwana mdogo ukapate career yako ya maana kuliko kutegemea hizo siasa uchwara.....utaisoma namba mwaka huuu..........

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe Anony 6.57am na wenzio wote hapo chini, acheni ujinga amani ipi sasa unaiongelea kwani kuandamana ni kuvunja amani au ni kudai haki yako ya msingi bila fujo!!? Acha kutisha watu mtu anatoa mawazo yake wewe unaanza kuongea pumba. Poteleeni kuzimu na kundi lako lote vile vile. In Jesus name. Amen

      Delete
  5. Nchi inatisha.mnawafungia watu waliochaguliwa kwa kupigania haki za wananchi na mkiwea wahujumu, wezi, walioiba mabilioni. Na raisi anayetumbua kimya.anatumbua nini sasa. Ccm ni dhaifu.inawoga, hItaki kukosolewa. Ni wa abe hadharani.mnafuga majambazi na kuwakomoa wanappigania maslahi ya nchi . Ni wao watumbuliwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAKUELEWA AMAAA!! WEWE UNASEMA "mnawafungia watu waliochaguliwa kwa kupigania haki za wananchi" Hii itabidi unifafanulie mdau manake umenichanganya ni sikuelewi una maanisha nini... Jaribu kunielewesha Mdau..

      Delete
    2. Kuchaguliwa na Wananchi isiwe ndio sababu ya kupinda na kuzichezea Sheria, Kanuni, Taratibu na miongozo ya Bunge. Kwani Kuchaguliwa na wananchi hakukufanyi uwe juu ya sheria. Kama ndio hivyo basi itakuwa vurugu kila mahali. Ndugu jitahidi sana kuzielewa Sheria zinazoliongoza Bunge na Nchi hii.

      Delete
  6. Bwana Zitto Kabwe karibu sana pale kwa Facebook uje utuletee siasa zako za uchwara.

    ReplyDelete
  7. pole zitto na wenzio wote kwa maswaiba yaliyo wapata na siku zote utambue kuwa mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.! muwe na moyo wa utulivu na subira!.yana mwisho haya!

    ReplyDelete
    Replies
    1. MIE KUSHAURINI WOTE NYIE MUOE ILI MPATE WAJIKO KABLA YA mwezi wa ramadhani ili mpate FUTARI.. USIFESI BUKU WEWE BALAAAAAAA..

      Delete
  8. huoni hata aibu kutupia fecebook hayo maneno kiukweli zito mnataka sifa sana nyiwe wote mliofukuzwa kila mmoja anajiona yeye ndio yeye pole sana unavyoandika hivyo unataka tukusaidie machungu au kwenda zako huko huna lolote kapumzike kigoma watafute wenzio muanzishe bunge lenu muonyeshe laivu unafikiri tunapenda vioja mnavyovionyesha bungeni na uliandika hivy fb litegemea tutakusapoti hakuna kitu wewe umeishiwa sera uchu wa madaraka umekujaa ndio maana ulifukuzwa chadema nfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wabwalata

    ReplyDelete

Top Post Ad