Anna Makinda Akumbukwa kwa Hekima zake Bungeni...Tulia Akson Asababisha Mgawanyiko Mkubwa Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kambi rasmi ya upinzani bungeni sasa inauona utawala wa Spika wa Bunge la 10, Anne Makinda kuwa ulikuwa na hekima ya uongozi kwa kumaliza tofauti na wabunge bila kushindana.

“Makinda alikuwa akiona mmeenda kinyume tu anawaandikia kimemo, mbunge mmoja mmoja akiwataka mkutane ofisini kwake na kumaliza. Hakukuwa na mwanya wa kushindana tofauti na Dk Tulia,” amesema Kaimu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, David Silinde.

 Amesema kukosekana kwa Spika Job Ndugai ambaye amekuwa bungeni kwa muda mrefu kumesababisha mgawanyiko kati ya wabunge wa upinzani na wa chama tawala.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahaha!Eti Makinda alikuwa akiona mmeenda kinyume tu anawaandikia kimemo,kumbe mnataka mambo ya kubembelezana?na kumbe mnajua kabisa mnaenda kinyume?kumbe ni makusudi,imekula kwenu maana KILA ZAMA NA KITABU CHAKE.

    ReplyDelete
  2. AKHA!WAPINZANI LEO WANAMKUMBUKA MAKINDA NA KUMUONA ALIKUWA NA HEKIMA,MWEEEEEEEEE,KWELI MAJI YA SHINGO.

    ReplyDelete
  3. Na Makinda mlikuwa mnamsumbua hivyohivyo mbona?
    Hakuna mtu mwema wa ccm kwenu nyie wapinzani,sanasana mtamuona mtu mwema kama tu atakuwa kafanya mambo mnayoyataka nyie.

    ReplyDelete
  4. Inasikitisha Mbunge (MP). Kuzungumzia Spika huyu na yule/ naibu huyu na yule... Je hizi ndizo hoja au mazungumzo ya kufananisha watu baina ya zana na nyakati... Kweli sisi inabidi tuendelee na mfumo mpya katika kila nyanja ili tulete mabadiliko na mwamko wa spidi ya Dkt JPJM ..itasaidia wabunge waweze kujui spidi hii matakwa yake na mwendo wake... Sitegemei wabunge kuzungumza ufanisi wa kazi wa Makinda katika awamu yake na inajulikana na hivi sasa tunajaribu na kuwayanyia kazi yele na ya sasa... Naomba be positive and find solution and move ON... with JPJM

    ReplyDelete
  5. Tatizo hapa lateuliwa na rais
    Hana uzoefu bungeni
    Si kila kitu kinaenda na kanuni
    Kama issu wa wanafunzi wa chuo Dodoma ilikuwa nyeti bunge lolote duniani lingesimamisha shughuli

    ReplyDelete
  6. ndio maana wanasemaga exprience kwa miaka kadhaa.. msameheni huyo awezi kuwa sawa na yule mwenye exprience ya kukaa miaka kenda bungeni na huyo ambaye amewekwa na mkulu wake kama remote.

    ReplyDelete
  7. labda wamemdanganya wamemwambia yeye ni mzuri., mwe mhhh

    ReplyDelete

Top Post Ad