Breaking News: Jeshi la Polisi Lawatawanya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Ambao ni Wafuasi wa Chadema Kwa Kufanya Mahafali Bila Kibali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma  limewasambaratisha wanafunzi  wa vyuo vikuu  wanachama wa Chadema ( Chadema Students Organization -CHASO ) waliokuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika  Ukumbi wa African Dreams  ulipo Area D mjini Dodoma.

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi wamekamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.

Polisi wamesema mikusanyiko  yote ya kisiasa ilishapigwa marufuku, hivyo hata mahafali hiyo ilikuwa batili
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuuuh hii hatari basi sawaa..mweeeee inasikitisha lakn

    ReplyDelete
  2. Mamae tunapoelekea sasa itafahamika tuu

    ReplyDelete
  3. Kinachoendelea kinaonekana kama utani wa kawaida tu, lakini madhara yake ni makubwa sana huko tuendako, huu ni ukandamizaji, na ukandamizaji wa namna hii ama nyingine inayo fanana na hii ndio chanzo cha uzalishaji wa vikundi visivyofaa na vyenye madhara makubwa kwa amani na uchumi wa nchi. Syria, Libya, Nigeria, Somalia, Burundi na nchi nyingi tu zimekua na machafuko ambayo vyazo vyake ndio kama hivi au mifano ya hivi. Ni vizuri waliopo madarakani wakatumia mfumo wa uongozi badaya ya mfumo wa utawala.

    ReplyDelete

Top Post Ad