Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) Atoa Mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) Anamtamani Kimapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anasema kuwa wakati yupo Bungeni, mbunge wa CHADEMA Anatropia alimvua kofia aina ya kibagharashia na kutokomea kusikojulikana, na...

- Kumfanya akose sifa ya kuingia bungeni, hivyo wananchi wa Ulanga kukosa mwakilishi kwa muda

- Kumsababishia mtikisiko wa Mawazo kwa kumnyang'anya kofia.

- Kulikosea heshima vazi hilo (Utamaduni wa vazi hilo anayepaswa kumvua ni mkewe)

- Kuingilia Himaya ya Mke wake (Mama Glory) kwasababu yeye siye mkewe.

- Kuvunja Amri ya Tisa inayokataza kutamani mali ya mtu mwingine, hivyo Anatropia amemtamani kimapenzi

- Kuvunja Msimamo wa CHADEMA wa kutojongelea wabunge wa CCM

Ameuliza hivyo vitendo vyote vinaruhusiwa kwenye Bunge Tukufu? Tazama Video:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BAADHI YA WABUNGE WAMEKOSA WELEDI VITU VIPO VINGI VYA KUONGELEA MATATIZO YA JAMII WAMEKALIA UJINGA TUU

    ReplyDelete
  2. Upumbavu mwingine unanifanya nijisikie kutapika wallah...khaaa

    ReplyDelete
  3. Upumbavu mwingine unanifanya nijisikie kutapika wallah...khaaa

    ReplyDelete
  4. Hivi nalo hili la kuana kofia ni la kupoteza muda kuliongelea kweli jamani?Hebu wabunge wetu kuweni makini na muskabali wa taifa hili,mambo ya kitoto tunaomba muyaache,mnatuumiza wananchi.

    ReplyDelete
  5. Acheni hiyo muhemko ndugu zangu,mnatuonyesha picha mbaya.MNAKERA.

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha kuongea?Mkalale.

    ReplyDelete
  7. Mlinga!! Umependeza Na hili vazi Na hawa katika huu mwezi mtukifi WA Ramadhani.. Mungi akupe Amani Na Imani Na Anatropia itabidi umsamehe Kama maamrisho ya Dini Na mwezi Huu ntukufu umavyotaka..BARIDA MWANGU

    ReplyDelete
  8. Hili teja teja vuta Unga hata kipofu ,unasikia sauti bora ya mlevi kuliko hili toto nasikia kutapika
    Fyuuuuuuu ccm
    Mtake Nani kwa sura gani kwa lipi ulichonacho fala wewe
    Ktk wanaume nawe mwanaume
    Wewe si Kama vibaby tu
    Koma tena koma labda uko ccm
    Ukawa hata mbwa wetu hawakutaki
    Malaya mchanga usiyechambika duniani hadi akhera unaijuwa maana kanzu wewe umekwenda Suna wewe unavaa kanzu na zobe lako fyuuuuuuuuu
    Nenda jandoni kwanza kabla hujavaa kanzu

    ReplyDelete
  9. Mlinga Umetisha!! Mwambie Mama Glory asiwe na wasiwasi wewe uko makini Anatropia amejaribu tuu. lakini kagonga mwamba hafui dafu kwake.. Je vipi Kofia uliipata tena?

    Nitaarifu ikibini nikuletee nyingine ntafanya hivyo. nipitie Msikiti wa Gaddafi kama bado hujaipata... Mungu akusaidie umalize vikao kwa salama.

    ReplyDelete
  10. Ccm tangu TULIA na wabunge wote wa ccm mnashangilia hili teja
    Shame youuuuuuyuu

    ReplyDelete
  11. USIMUAIBISHE MBUNGE WA WATU JAMANI KWA MVUTO GANI ULIONAO WE KILAZA.COM.

    ReplyDelete
  12. Naona wabunge mbumbumbu wengi CCM wakicheka. Na naibu spika pia. Hii ni mizigo isiyo na mbele wala nyuma. Hoja gii naib kuisikiliza hoja wa wanafunzi Dodoma unawafukuza. Sina heshima na bunge lako. Kupoteza muda, pesa, na anapewa posho bila kumtoa unaonyesha pia kazi huimudu. Mnamaliza kodi za wananchi kwa upumbavu mtupu. CCM mnatupotezea kodi etu n.a. mudA wetu. Ajihudhuru wote nsibu spika n.a. huyu mmbaba n.a. mbalaka mshee wake kwa kuongea lugha ya uswahilini bungeni

    ReplyDelete

Top Post Ad