AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Silinde alianza kuwasilisha bila ya kumtaja Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, hivyo kusababisha wabunge wa CCM kuguna.
Kutokana na miguno hiyo, Dk Tulia alimtaka akipe kiti heshima yake, lakini Silinde akamkatalia akisema si lazima kumwita Tulia mheshimiwa kabla ya kukubali kwa shingo upande.
“Kama unataka uheshimiwa sawa,” alisema Silinde na kuongeza: “Basi Mheshimwa Naibu Spika,” alisema na kusababisha ukumbi kupiga makofi.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tulia Tulia
ReplyDeleteUnapenda ukubwa hata miaka 40 huna
Mtoto hata bungeni huna miezi
Tulia Kama jina lako
Mtoto hata huyo Anna makinda hakuwa na vishindo hivi
ReplyDeleteAlinzia mbali hadi akawa spika
Mtoto kwa hiki jiphd toka kwa migiro
Unajifanya unajuwa bunge kuliko waliokuchaguwa
Poleni ccm
Mtajuta na wingi wenu bungeni
haki yake apewe silinde utapasuka msamba usiige kunya kwa tembo
ReplyDelete