Fella atoa kauli ya ‘WCB’ baada ya Diamond kukosa tuzo ya BET

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Babu Tale, Diamond na Fella
Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label ya WCB, Mkubwa Fella amesema kuwa WCB imekubali kilichotokea katika tuzo za BET licha ya kukiri kwamba walikuwa wanamatarajio makubwa ya kuchukua tuzo hiyo ambayo ilikuchuliwa na Black Coffee kutoka Afrika Kusini.

Akiongea na Redio 5 ya Arusha Jumatatu hii, Fella amezungumzia matokeo hayo pamoja na kwanini walikuwa namarajio makubwa.

“Tumepokea vizuri sana kwa sababu mwisho wa siku ni msanii pekee wa Kitanzania,” alisema Fella “Msanii wa kitanzania kuingia kwenye tuzo kama hizo ambazo ni kubwa duniani bado tunaona tunanafasi ya kufanya mazuri zaidi,”

Aliongeza, ‘Hatuwezi sema tulikosea kwa sababu mwisho wa siku yale ni mashindano kwamba mmoja lazima achukue, kwa hiyo Black Coffee alichofanya ulimwenguni kimemeona ni bora, yeye ni bora, kwa hiyo na sisi Watanzania tutengeneze vitu bora kama vya wenzetu,”

Pia kiongozi huyo alisema walikuwa na matarajio ya kuchukua tuzo hiyo.

“Hata ukiniambia leo nikapigane na Tyson na uhakika wa kupigana naye na nikashinda, sina maana kwamba naenda kupigana na Tyson ndio nikapigwe,”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado mbona mtakosa tuzo zoteee yani hapa badoooo...hiyo tuzo hata miaka kumi awe nominii hatapata nani ampigie kura kwa ashuo na dharau anazoonyesha

    ReplyDelete
  2. bala bala blaaaaaaaaaaaaa. mpeni black cofee Dai apunguze stress

    ReplyDelete
  3. obvious utakua ujitambui am sure anonymous 2.37pm

    ReplyDelete

Top Post Ad