AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku nne simba Anaachia ile Mashine"
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tutoleeee uvundo hapa umepanic vbya ushakosa kaa kimya....uendewe kwa waganga we nani wakati we mwenyewe mchawiii
ReplyDeleteKabisaaaa yeye mwenyewe mchawi kupindukiaa mpumbavu sana huyu Diamond anaamini uchawi ndo kila kitu poleee jipange upyaaa!!!!tutashtuka Kama utatoa nyimbo ya peke yako bila kubebwa na Psauare...unatafuta kiki ya kutoka ndo maana unafanya colabo na wanamuziki wakubwa sauti yenyewe ya mchirikuu !!!simama mwenyewe bila kubebwa na mtu Kama Alikiba Aje...tulinganishe sautiii nyoookooo uchawi wa ngamia vepeeee!!!???umefanya makafara na Tuzo umekosa aibuuuu...
Deletewewe ndo uvundo, tena wa uhalo
DeleteSimba acha kujishtukia na kuleta mifakarano jaribu kudumisha umoja unakuwa kama shi shi baby,wewe mtoto wa kiume
ReplyDeleteSimba acha kujishtukia na kuleta mifakarano jaribu kudumisha umoja unakuwa kama shi shi baby,wewe mtoto wa kiume bhana.
ReplyDeletemfamaji huyooo! kakosa hana jipa povu linamtoka anaona haya. DOMO
ReplyDeleteALIJIONA HAKUNA KAMA YEYE, MUNGU KAMUONYESHA UWEZO WAKE. KABAKIA KUTAPATAPA KAMA MBUZI WA HITAMA.
ReplyDeleteNdio mwanzo wa
ReplyDeletekuugua dogo,Maneno ya kiswahili
ya nini?kwani ulipangiwa wewe tu kila tuzo upate?
Hukosei sio hukoseigi msituharibie kiswahili chetu
ReplyDeleteHASIYE KUBALI KUSHINDWA SI MASHINDANI wahenga walinena sasa jaribu kutilia na kujipanga upya kimuziki dogo hizo bla bla hazitokusaidia kamwe au ulifikiri kuishi maisha kama mwanamuziki ni lele mama nini dogo,YOU HAVE TO LIVE AND LEARN DOGO wish u all the best
ReplyDeleteukuabali kushindwa kwani sio kila siku jumatatu kwa hivo keep this in your mind kujiona na kudharau wenzako usidhani utakuwa na maendeleo learn through your mistake ufahari haufai kumbuka ulikotoka walikuinua hadi ukafika ulipofika una kaa ukitakana watu na mafumbo ya kijinga kuwa mwanaume dont be like shilole kubwata bwata
ReplyDeleteDONE BLEW YOU SHIT HOME BOY THAT'S WHAT LIFE'S ALL'BOUT JOE!EVEN THERE WAS A TIME THE KING OF POP(LATE)MICHAEL JACKSON DROPPED DOWN AFTER SO MANY MANY YEARS OF BEING ON THE TOP SO WHATTA'BOUT YOU JOE?YOU HAVE TO LEARN THAT IN LIFE THERE ARE TWO SIDES IE.YES OR NO"THIS TIME YOU GOT"NO"SO YOU GOTTA LIVE WITH IT WORK HARD AND MAYBE NEXT TIME YOU GONNA MAKE IT JOE AS I SAID THAT'S WHAT LIFE'S ALL'BOUT JOE!UP&DOWN SO DON'T YOU BUCKLE&STUMBLE TAKE IT COOL&CALM JOE
ReplyDelete