Mahaba ya Harmozine kwa Wolper: Siku zinavyozidi Kwenda Nazidi Kukuona Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hit maker wa ‘Bado’ Harmonize anaendelea kuudhirishia umma jinsi anavyompenda baby mama wake Jacqueline Wolper.

Muimbaji huyo amewaziba mdomo mashabiki ambao wanabeza uwamuzi wake wa kutoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri.

Harmonize alipost picha ya Wolper instagram na kuandika:
Get well soon mami….🙏 siku zinavyozidi kwenda nazidi kukuona mpya…..!!! hivi kina miaka ngapi hiki kitoto …..??? 13 au 14 mana nami kwa kusahau.
Kauli hiyo imeonyesha kuwatoa povu baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.

Alwatan_de_don
Sikuzote MTU akikosea njia ndo anajifanya haoni eti umri wake miaka mngapi,,,,😁😁 vijimambo hv

Neema3071
Heshima pesa shikamoo makelele age namba tu lkn ukimchek kama anamiaka20 hiv matuzo tu poleen wenye majungu

hendrickanthony2016
Kwan miaka its just a number hats Bibi kizee anaweza akampenda mtoto wa miaka mi5, mapenz hayajal umri its a Mata of loving each other,,, nakupenda bro @harmonize_tz & CcY Ake @wolperstylish
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni marudio tu maana hata wakina Shishi na Nuhu walisema.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Harmonize hana elimu ya kutosha, hafikiri long term. Hili ni tatizo kwa wasanii wengi wa bongo. Wanaona ufahari kusikika na kuonekana kwenye magazeti/tv kwa habari au matukio ambayo hayana faida yoyote katika maisha yao

    ReplyDelete

Top Post Ad