Makamo wa Rais: Wanafunzi wa Vyuo Wanaongoza Kwa Kujiuza Miili yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea katika harambee ya kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana chuo kikuu cha Mzumbe amesema wanafunzi wa kike wanaosoma vyuo vikuu wanaongoza kwa tabia ya kujiuza miili yao, na kujipanga foleni kwenye hoteli na madanguro, na kuleta aibu kwa jamii
amesema zamani wao wkiwa wanasoma walikuwa wanaishi kwa 'bum' hilo hilo lakini walikuwa hawajiuzi na ameshangaa kwa nini sasa hivi wanafanya hivyo:

Video:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nilimuuliza mwanangu unataka nn uweze kusoma bila tabu akaniambia nataka gari sehemu nzuri ya kulala na allowace ya mwezi dola kama 300 hv nikamuuliza nikikupa hivyo utasoma vzr akasema ndio na nakuahaidi nitakuletea matokeo mazuri....basi nikampa so we made a deal i provide good stuff to her n she make sure she study hard....hawa wanafunzi lazima wajiuze maana hata hilo bum haliwatoshi mahitaji yao ni mengi vyuo toka vimejengwa havijawahi kukarabatiwa jamn mtu anasoma kwenye mazingira mabovu pesa ya bum ndogo vitu vimepanda bei unategemea nn...hv hz kodi zinaenda wapi...mpe mtoto mazingira mazuri ya kusoma uone kama atahadaika...karabatin hv vyuo ongezen pesa za matumizi kwao..mh.makamu we umesoma enzi zile elfu 10 unaweza kununua vitu kibao sahv elfu10 ukinywa chai na maji ya buku imeisha msiwalaumu sana..

    ReplyDelete

Top Post Ad