Master Jay: Tulikuwa Wapenzi Miaka 10 Bila Kujulikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi walipoamua kuweka wazi hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao.

“Nilimpenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa pamoja na kazi zake anazozifanya ni nzuri, hata hivyo tumeendana katika mapenzi yetu,’’ alielezea.

Mtayarishaji huyo ana watoto watatu kwa mke wake na hawana mtoto na Shaa.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umempenda Shaa kwa kuwa ni mvumilivu pia.---??????????

    ReplyDelete
  2. SIJAKUELEWA!!! MKE ALIYEKUZALIA WATOTO WATATU SIO MVUMILIVU!!!???

    ReplyDelete
  3. Wee master J acha kumpamba huyo binti ili awe na wewe. Anahitaji kuzaa kama wewe ulivyo zaa na mkeo watoto watatu. Asije akalalamika kama tunawasikia kwenye vyombo vya habari pale amabapo atakuwa tayari amepoteza wakati na maisha kuingia ukakasi. SHAA kama master J anakupena azae na wewe na siyo sifa za kijinga kwani hizo zipo siku zote . Nawatakia uvulivu usio na kifani.

    ReplyDelete
  4. Asije akawa nayeye anazitoa kama Dada Weme Sepeta. Ili awe wa Show of kwa Master. Zaa wewe acha mchezo usiwe kama ze ndindindi

    ReplyDelete
  5. KWELI SHAA MIAKA KUMI NI MINGI ZAENI BASIIII!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad