Mimi ni mwanamuziki, Shilole ni mcheza shoo – Nuh Mziwanda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda ameendelea kumponda aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa kudai sio mwanamuziki bali ni mcheza shoo.
nuhu

Muimbaji huyo wa wimbo ‘Jike Shupa’ amekuwa akitupiana maneno na Shilole kupitia mitandao ya kijamii toka wimbo huyo utoke.

Akiongea katika kipindi cha The Base kinachoruka katika runinga ya ITV, Nuh alisema hawezi shindana na Shilole kwa kuwa sio mwanamuziki.

“Mimi sitaki kiki, mimi mambo ya kiki nimeshayaacha, sasa hivi na fans base kwa ajili ya Jike Shupa,” alisema Nuh. “Ila yeye (Shilole) anajaribu kunichokonoa ili maisha yake yaende. Mimi ni mwanamuziki babu, siwezi kushindana naye, yule ni mcheza shoo,”

Shilole na Nuh hawakuachana vizuri, kila mmoja amekuwa akimtupia maneno machafu mwenzake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jaribu kuwa mwanaume basi!

    ReplyDelete
  2. ni kweli mcheza show yaani kila show zake lazima tuone cinema ya bure

    ReplyDelete
  3. Wee Dume Shupa pia hujiamni kucha kutwa shilole yupo midomoni mwako

    ReplyDelete
  4. Shilole ni mcheza tu anachoimba sijakiona bora angebaki kuigiza tu....Nuh piga kazi achia ngoma tu usishindane na mtoto wa kike......

    ReplyDelete
  5. Sio yeye wanaomuuliza ndio muwambie wasimuulize yeye ana kosa

    ReplyDelete
  6. Nuhu na Shilole mngekaa kimya ingekuwa busara sana. Mnawapa atu faida bila sababu

    ReplyDelete
  7. Huo ni ufala kuuza siri zenu za ndani,Bro kama ulipigwa vibao vumilia

    ReplyDelete

Top Post Ad