AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mungu amlaze mahali pema peponi!!
RIP PROF.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ni masikitiko yetu Watanzania Kuodokewa Na Mmoja wa Wazalendo wetu abao wametuamia Muda wao Katika Kuiona Tanzania Yetu Inasonga Mbele. Marehemu Mkilaha Ali kuwa siku zote yuko bega kwa bega katika utendaji na Uelekezaji wa Nguvu mbadala na mmoja wa Wasomi wakio kuwa katika nafasi na Upana mtarajiwa katika kuleta nguvu mbadala. Tunatoa Rambi Rambi kwa Familia ya Wafiwa na Ndugu na Jamaa wote na kumuomba Mungu akupeni Nguvu na Ujasiri katika kipind i hiki kigumu cha kuondokewa... AMEEN
ReplyDeleteR.I.P. ukiosha bastola unatoa risasi maana ni hatari. Tujifunze
ReplyDeleteni kweli bahati mbaya???????????!!!
ReplyDeleteR.I.P Prof. Binafsi nimeshtushwa na nimepokea kwa hudhuni kubwa taarifa ya kifo cha Prof. mkilaha kwa ni mwez wa 5 tu alikuja Ruvu kutafuta spear ya Trekta ndipo nilipokutana nae na kufahamiana nae na badae kunishauri nimtumie yeye kama mwalimu wangu katika kuandika proposal mbalimbali kisha tukawasiliana mara nyingi kupitia sim yake ya mkononi na e-mail lakin cha kushangaza ikafika wakati namtafuta sikumpata tena nikahisi kabda kasafiri nje ya nchi kikazi kumbe inalilah waina iraihi rajiun Profesa.
ReplyDelete