Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA
Lazima apewe cheo kkubwa hakiendani na jinsi alivyoingia bungeni
ReplyDeleteNa upendeleo wake kupendelea au kushabikia upande mmoja
Angekuwa mbunge wa jimbo au viti maalumu watu wasinge guna
Anaendesha bunge Kama mahakama
Dk.Tulia Yuko vizuri mama.hongera Sana mama
ReplyDeleteKinda kuitwa mama kwa cheo au umri
DeleteFyuuuuuui
Kwa hicho kitoto alicho zaa USA kwa migiro fyuuu
Ni shida
ReplyDeleteWengi wanaochangia comments hawana uwezo wa ku analyse mambo yaani alimradi naye aandike hajyi hata viashiria vya hali hatarishi ya kesho na kesho KUTWA
ReplyDeleteWampe na mtu wa kubebea pochi
ReplyDeleteKabisa
Katutoka huyu
Dkt Tulia uko poa Mwanangu ... Nidhamu ina dhihiri... na ndivyo inavyo takiwa.Watakuona NOMA.. Tunaendelea mbele... Hongera Mama!!! Pamoja sana.. Unacheza na Posho... Posho...waliifungia safari Dodoma!! Fyuuuuuu
ReplyDeleteKazi umeifanya kwa Ustadi Mkubwa. Hongera saana. Keep it up, mungu awe upande wako. Wapinzani wamezoea kufanya kazi kwa mazoea, sasa Serikali imekaza kamba wanapiga kelele na kulalamika ovyo. Mwaka huu wataisoma namaba.
ReplyDelete