Unakaribishwa kuitazama Video ya Jike Shupa ya Nuh Mziwanda ft Alikiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zimepita wiki kadhaa toka msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda alivyoachia audio ya hit single ya ‘Jike Shupa’ aliyomshirikisha Alikiba, leo June 11 2016 imeachiwa rasmi video ya hit single ya ‘Jike Shupa’, enjoy kwa kutazama dakika tatu na sekunde 50 za video yenyewe mtu wangu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahhahahaha nuh hahahah dada huyu video kwin mbona anafanana na shishi jamn hadi tatoo ya kifua...daah yani we hubishani kwa maneno we vitendo tu..hahahhaa kuanzia leo mi shabiki wako

    ReplyDelete
  2. Hahahahahahahahahaha Kwa kweli hii video nimeipenda mno. Hongera sana Nuh Mziwanda ingawa tunajua ulikuwa unalambwa vibao zaidi ya hivyo ulivyovionyesha kwenye hiyo video. Lakini ni tumaini langu kuwa utakuwa umejifunza vya kutosha kutoka kwa Jike Shupa. Na siku nyingine hutarudia tena na kuwafukuzia Majike Shupa. Kwa kweli kama ni uzoefu basi katika hii video Ali Kiba ameonyesha ukomavu mkubwa sana katika anga hizo za muziki wa Bongo Fleva. Nadhani dogo Nuh Mziwanda endelea hivyo hivyo na kuwashirikisha hao manguli wa muziki wa Bongo Fleva katika muziki wako kwani watakupaisha juu sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad