Video : Huyu Ndio Mtoto wa Aunti Ezekeil, Angalia Jinsi Alivyofanana Sana na Baba Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moses Iyobo na Aunty Ezekiel 
Kama kuna habari ilimake headline sana wiki iliyopita basi hutaacha kuitaja ya Birthday ya mtoto wa mwigizaji Anti Ezekiel na Dansa wa Diamond anaefahamika kama Mose Iyobo. Mastar hao walikua wakisherehekea mwaka mmoja wa kuzaliwa wa mtoto wao Cookie katika sherehe iliyohudhuriwa na mastar mbalimbali.

Itakumbukwa kua ni watu wachache sana waliokua wakiifahamu sura ya mtoto wa Anti kwani amekua akificha sura ya mwanae hasa kwenye mitandao ya jamii. Ila watu wengi baada ya kuona picha za mtoto huyo kwa mara ya kwanza walisema kafanana sana na baba yake kuliko mama. Unaweza tazama video ya Mose akicheza na mwanae na uone jinsi walivyofanana.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkumbuke na bi.mkubwa(Mama)basi kaka.

    ReplyDelete
  2. Jamani huyu mtoto malaika wa Mungu ni kazuriiiiiii dah mpaka basi tena. Sasa hawa viumbe watu wamekaleta hako ka malaika katikati ya drama zao. Sasa yule mjamaa aliyeswekwa jela pale Uarabuni sijui ndio itakuwaje. Kwa maana bado anadai huyo mwanamke ni wa kwake tena kihalali na kwa misingi ya dini. Duh mbona hii Dunia balaaa dah.

    ReplyDelete
  3. HONGERA BABA KUKU.

    ReplyDelete

Top Post Ad