Video: Zuu (Jike Shupa) Aelezea Jinsi Shilole Alivyogeuka Adui

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jike Shupa na Shilole
Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea. Video:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazi ipooooo duuuh hii ngoma sijui inachezwaje....hahaha bibie anajitahidi ili atoke

    ReplyDelete

Top Post Ad