Wabunge watatu wa Ukawa wasimamishwa kutohudhuria vikao bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bunge limeridhia pendekezo la adhabu ya kumsimamisha vikao 10 kuanzia leo Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi baada ya kutiwa hatiani na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kudharau mamlaka ya Spika.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kepten Mstaafu George Mkuchika alisema alinyoosha kidole cha kati kwenda juu cha mkono wa kulia huku vingine akivikunja  jambo ambalo ni matusi na dharau kwa mamlaka ya Bunge.

Naibu Spika Dk Tulia Ackson amewasimamisha Wabunge wengine wawili wa Ukawa,ambao ni Mbunge wa  Ubungo (Chadema) Saed Kubenea kwa kutohudhuria vikao vitano kuanzia leo baada ya kutiwa hatiani na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa alisema uongo Bungeni.

Mbunge mwingine  aliyesimamishwa ni  Mbunge wa Simanjiro (Chadema) James Ole Millya kutohudhuria vikao vitano kuanzia leo baada ya kutiwa hatiani na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa alisema uongo Bungeni.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameanza kutoa hotuba ya kuahirisha Bunge na kueleza bajeti ni ya kihistoria tangu nchi ipate uhuru kwa kutenga asilimia 40 ya Sh29.5 trilioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtajijuwa CCM

    ReplyDelete
  2. Fukuza wote kabisa Hawaii hata maana ya bunge. .......

    ReplyDelete
  3. Giving unanimity naibu spika kuwaadhibu ukawa ambao wametumwa kuwawakilisha watu wao.wakutoa kabisa.wewe unatumwa kitichako vibaya.haijengi Taifa n.a. ni unable kutumbua cheo na mna hii.mbona wewe umekataa kutolewa vipi. Cheo ni dhamana nitumie vyeo vyenu vibaya kikazi . Unaonyesha dhaifu wa kutokubsli kukosolewa badala yake unatumia nguvu ya cheo chaji.no Toto pia.

    ReplyDelete
  4. Giving unanimity naibu spika kuwaadhibu ukawa ambao wametumwa kuwawakilisha watu wao.wakutoa kabisa.wewe unatumwa kitichako vibaya.haijengi Taifa n.a. ni unable kutumbua cheo na mna hii.mbona wewe umekataa kutolewa vipi. Cheo ni dhamana nitumie vyeo vyenu vibaya kikazi . Unaonyesha dhaifu wa kutokubsli kukosolewa badala yake unatumia nguvu ya cheo chaji.no Toto pia.

    ReplyDelete
  5. Kaonakana Kitwanga tu ndio mlevi, lakini humu ndani kuna walevi na wavuta bangi kama huyo Sugu, wengi tu, wanahitaji kipima uongo na kipima ulevi kama kile cha madereva........lakini Dr. Tulia atawatuliza

    ReplyDelete

Top Post Ad