Wema Sepetu Amempongeza Kim Kardashian Kwa Kutumia Lipstic yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo Wema alikoment maneno haya huku akitumia hashtags kibao:

"Thank you sweetheart kwa kutumia bidhaa zangu #KissbyWema #TeamWema #MadamRange #TeamSonny #Wanawaketunaweza #huuMchezohauhitajiHasira #HapaKaziTu #MissTz2006 #BetAwards.

Mimi binafsi nampongeza kama ni kweli kavuka mipaka
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera wemaaa kama umefikia level za huko hiki ndo tunataka ww upige kazi sio drama...dram waachie wazee wanaozaa na wadogo zao ukisikia yalaaa limekupata...hahahha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahah yaani Kim aache kupaka vitu vya ukweli akapake lipstic feki kutoka china ya elf kumi.....Wema masikiniiii. Nani kakuvuruga?? Au laana za wake za watu na wapenzi za watu??

      Delete
  2. ALHAMDULLIAH.

    ReplyDelete
  3. Wema kweli sasa unavuta bangi!! Hivi unamjua unaye msema au?? Kim gani? Tuta endelea kukuombea ndoto yako itimie.

    ReplyDelete
  4. Duh aiseeee!!!..............Kim Kardashian na Wema Sepetu wapi na wapi dah hiii kali.

    ReplyDelete
  5. Aaah anatafuta kiki tu huyo wema yeye na kardashian wapi na wapi

    ReplyDelete
  6. Kim anajua kiswahili tulisoma nae mawenzi primary kule Moshi

    ReplyDelete
  7. tunakuombea ndoto zako zitimie madam wema but uthibisho please.

    ReplyDelete
  8. Du Wema sasa bangi imekukubali kweli kweli, tatizo Kim Kardashian hakujui wewe ni nani, Kim Kardashian ni face ya makampuni maarufu duniani ya urembo vile vile yeye na dada zake wanayo kampuni yao ya vitu vya urembo, ndiyo anunue au atumie liptick yako ya elfu kumi? da wabango bwana kujisifia ndiyo wenyewe

    ReplyDelete
  9. Watu wengine bwana ndio maana watanzania hatuendelei. Hivi Kim kutumia lipstick ya wema kuna ajabu gani sasa. Kwani huko kwao hazipo au? Hebu tupanuke mawazo na tuache ushabiki wa chuki eti haiwezekani hapa kwetu watu wangapi wanajaribu urembo mbalimbali wakiona unafaa wanaendelea kutumia. Bisheni kitu kwa evidence sio kwa kukisia tuu. Ni kweli sasa Kim katumia kama inawauma mnafuatilia nini sasa. Poor mind set....

    ReplyDelete

Top Post Ad