AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
'Askofu Gwajima alisema uongo kwamba Jakaya Kikwete hakutaka kumpisha Magufuli kuwa mwenyekiti' - Yusufu Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinatoka mikononi mwa kada anayekataa ufisadi kiasi cha kumtosa rafiki yake Lowassa'- Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinakwenda mikononi mwa muasisi wa Mahakama ya mafisadi'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Wapinzani nataka mjue JK alikuwa anawabatiza kwa maji huyu ajaye atawabatiza kwa moto'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Rais Magufuli hakukataa ushauri alikataa vimemo kikiwemo cha kwangu, kuna mtu nilikuwa nampigia debe awe DC'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
MZEE MZIMA AU KUBWA JINGA LAUMBUKA LOL....KUMBE NDO AKINA NYIE MLIOKUWAMNAMTUMIA VIMEMO, MWANANGU AU RAFIKI YANGU et.AWE FULANI AU FULANI YAANI SERIKALI KM YENU- SHWAIN TYPE NYIE...jpm ameaanza kuwabatiza kwa moto nyie makada uchwara wa CCM....KUDADADADEKI..
ReplyDeleteMZEE MZIMA AU KUBWA JINGA LAUMBUKA LOL....KUMBE NDO AKINA NYIE MLIOKUWAMNAMTUMIA VIMEMO, MWANANGU AU RAFIKI YANGU et.AWE FULANI AU FULANI YAANI SERIKALI KM YENU- SHWAIN TYPE NYIE...jpm ameaanza kuwabatiza kwa moto nyie makada uchwara wa CCM....KUDADADADEKI..
ReplyDeleteZee zima nalo senge tu. Fuck you Makamba
DeleteHuna jipya zeee wewe
ReplyDeleteUlimtia mimba wanafunzi wako ukiwa mwl
Hata ulipokuwa katibu mkuu wa ccm
Kulala na machangu doa
New happy Mnazi mmoja
Fyuuu
Funga Domo lako
Ccm kimyaaaa dadekii mtaani kwangu sisikii shamra wenyewe wamenyoosha mikono siwaon mashabiki maandazi waliokuwa wanaimba acha waisome namba mamaeeee watu zzzzzźzzzz hakuna ushabiki utashabikia wakati hata hela ya kununua unga nusu huna hahhahaaha namba tutaisoma wote tuuu..na mpaka tuzikariri maisha yatatait mpka joto likimbie dar...
ReplyDelete