Diamond na Mama Mtoto Wake Zari Hassan Wathibitisha Tetesi za Kuwa Wamenunua Nyumba ya Kifahari South Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Diamond na Zari wathibitisha uwepo wa Jumba kubwa la kifahari walilonunua South Africa kwaajili ya mtoto wao Tiffah! !! Hakika hapa wametisha mbayaa...unaambiwa hilo Jumba ni shidaaaa...
#ubuyuuuuu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata wanunue akhera hatujalishii

    ReplyDelete
  2. kiki za msimu zinakuja. ilikuwa ya Madale mambo yameharibika sasa ya us. kuna mtu analala chooni au xxxx

    ReplyDelete
  3. Anunue ndege kama kweli ana pesa

    ReplyDelete
  4. jamani hakuna kitu kizuri duniani kama elimu maadam haina mwisho, basi turudi darasani kweli vile tutabadilika sana ni hili tu.

    ReplyDelete
  5. Hahahaaa watuonyeshe na karatasii maana wote wamekutana wasaniii mnooo !!!walisema ooooh tumeshafanya Dna South Africa kumbe ni uongo mtupuuu ,,,mwishowe Diamond akakiri kwamba hawajafanyaa.,,sasa wameibuka na ununuzi wa nyumba na pengine ni ya kupanga tuu ili Daimond apate pa kufikia maana kila siku huwa anafikia kwa marafiki...wasilete uongo wao ..mxiuuu!!!hahahaaaa Nijichekee miee Mama Diamond anaweza kubali zari anunuliwe nyumba south na mwanaee???? Haiwezekaniii hata kwaninii????!! Chezeyaa mmanyema weweee!!!???Ni Cinema tuu hizoo Danganya Totooo!!!

    ReplyDelete
  6. MTAKALIA KUSEMA TU WABONGO WENZENU WANAPIGA KAZI. BRAVO DIAMOND NA ZARI. NYUMBA NI HAZINA MZURI SANA !!!!

    ReplyDelete
  7. Wabongo wengi vilaza ukitaka kuwaudhi waambie umenunua au umejenga nyumba povu litawatoka.Ila ukisema ume nunua gari watashangilia hatari

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani kweli tu vilaza, badala ya kuwapongeza mapovu yanawatoka utafikiri gari la zima moto

      Delete
  8. Kama hamjali kwa nini liwasugue?....kuweni wazalendo..ukipenda mafanikio ya mwenzako mungu ukubariki na ukawaombea basi na wewe utafanikiwa....mambo yao hayawahusu kama humpendi kwa nini ukeshe kwa page yake?...

    ReplyDelete

Top Post Ad