AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Diamond na Zari wathibitisha uwepo wa Jumba kubwa la kifahari walilonunua South Africa kwaajili ya mtoto wao Tiffah! !! Hakika hapa wametisha mbayaa...unaambiwa hilo Jumba ni shidaaaa...
#ubuyuuuuu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hata wanunue akhera hatujalishii
ReplyDeletekiki za msimu zinakuja. ilikuwa ya Madale mambo yameharibika sasa ya us. kuna mtu analala chooni au xxxx
ReplyDeleteAnunue ndege kama kweli ana pesa
ReplyDeletejamani hakuna kitu kizuri duniani kama elimu maadam haina mwisho, basi turudi darasani kweli vile tutabadilika sana ni hili tu.
ReplyDeleteHahahaaa watuonyeshe na karatasii maana wote wamekutana wasaniii mnooo !!!walisema ooooh tumeshafanya Dna South Africa kumbe ni uongo mtupuuu ,,,mwishowe Diamond akakiri kwamba hawajafanyaa.,,sasa wameibuka na ununuzi wa nyumba na pengine ni ya kupanga tuu ili Daimond apate pa kufikia maana kila siku huwa anafikia kwa marafiki...wasilete uongo wao ..mxiuuu!!!hahahaaaa Nijichekee miee Mama Diamond anaweza kubali zari anunuliwe nyumba south na mwanaee???? Haiwezekaniii hata kwaninii????!! Chezeyaa mmanyema weweee!!!???Ni Cinema tuu hizoo Danganya Totooo!!!
ReplyDeleteMTAKALIA KUSEMA TU WABONGO WENZENU WANAPIGA KAZI. BRAVO DIAMOND NA ZARI. NYUMBA NI HAZINA MZURI SANA !!!!
ReplyDeleteWabongo wengi vilaza ukitaka kuwaudhi waambie umenunua au umejenga nyumba povu litawatoka.Ila ukisema ume nunua gari watashangilia hatari
ReplyDeleteyaani kweli tu vilaza, badala ya kuwapongeza mapovu yanawatoka utafikiri gari la zima moto
DeleteKama hamjali kwa nini liwasugue?....kuweni wazalendo..ukipenda mafanikio ya mwenzako mungu ukubariki na ukawaombea basi na wewe utafanikiwa....mambo yao hayawahusu kama humpendi kwa nini ukeshe kwa page yake?...
ReplyDelete