Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza aliandika kuwa Wema anapenda sana ‘ving’asti’ (dogodogo) akitolea mfano Idris Sultan aliyekuwa mpenzi wake, kisha akasema kuwa anaomba Mungu asije akapata mtoto wa kiume atakayependa ku-date na wanawake waliomzidi umri.

Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, Ijumaa lilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”

By Imelta, Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sepetu ,
    We unaeaume na umelala na wangapi.
    Ni wivu wa wanawake usio na maana. Kwa nini umdharalidhe mwenzio. We mpaka leo bado hujatulia na bwana maalum huna wala huna haya. Na utazeeka vibaya. What do you do Wema.

    ReplyDelete
  2. Ghasia nyingine jamani
    Akka wote malaya
    Tangu lini msungo akawa somo
    Fyuuu

    ReplyDelete
  3. Wewe Faiza unamsema mwenzako wakati wewe mwenyewe ulisema kwenye media kuwa unauza kuma kwa wazungu ni heri hata ya wema amekuwa kwenye mahusiano si kwa ajili ya kuuza kuma kama wewe tena unauza kuma huku unalea mtoto mdogo ndiyo maana sugu alitaka kumchukua mtoto wako, na ndiyo maana sugu hakutaka kukuoa sasa hivi sugu anaye mchumba ambaye ni mtu wa kuolewa lakini si wewe Faiza utaishia kuwachimba watu kwenye media lakini hamna mtu atayekuoa wote wewe na wema si watu wa kuolewa kwa hiyo usimseme mwenzio

    ReplyDelete

Top Post Ad