Lowassa Atofautiana na Chadema, Ampa Sifa Rais Magufuli...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lowassa 
KWA mara ya kwanza,mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha mwaka jana ,Aliyekuwa Mgombea Urais wa CHADEMA,Edward Lowassa leo hii amefunguka na kukiri juu ya uwezo wa JPM katika kutenda kazi.

Lowassa ambaye leo asubuhi alikuwa katika mahojiano katika chombo kimoja cha Luninga,alisikika akimsifia Dr Magufuli huku akidai kuwa kama angelikuwa ni yeye ndio Rais angefanya zaidi ya JPM.

Hii inakuwa ni sawa na kwenda kinyume na Chama chake ambapo mara kadhaa wamekuwa wakiuponda utawala wa Rais Magufuli huku wengine wakimuita dikteta
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani Hawa wapinzani wamegeuka kuwa hatari kwa mustakabali wa Taifa, baada ya kufanya kazi kwa ushirikiano lakini ndio kwanza wanatishia mustakabali Taifa na kutaka kulizamisha hapaana Inaeleweka wapo kimaslahi zaidi ndio hicho kinachowasumbua zaidi. Na ndoto zao za kushika madaraka shwaini wakubwa Hawa tumesha wastukia, wasituharibie shughuli, nchi inaenda vizuri sasa, hataaaa hatujasikia tena Yale mambo ya ufisadi kuvumua mihela na kuliacha Taifa hoii bin Tabaani, Mara dawa hakuna mahospitalini Mara walimu hawajalipwa mishahara Mara madaktari wamegoma mishahara midogo, Mara vitendea kazi kwa Kina mama kwa kujifungulia hamna, Mara vitanda hakuna mahospitali na kwa Kina mama na Watoto wanalazwa chini wamerundikwa kama majunia, basi ni tabu tu hizi nchi zetu za dunia ya tatu, wengi Elimu zenyewe hawana na hao wenye elimu wamepungukiwa malifa na ujuzi, hataaa za kufikiri tu ni shidaaaa

    ReplyDelete
  2. Ni kweli baba,hata mimi ni mpinzani nampa JPJM big up.

    ReplyDelete

Top Post Ad