Lulu Michael Afunguka Kuhusu Chama Anachokifagilia Bongo.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Alipoulizwa yeye shabiki wa chama gani cha siasa?, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijibu hivii; "Mimi sina chama, ndiyo maana hata katika kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana, sijaonekana kwenye jukwaa lolote. Miye naamini kura ni siri na nilifanya hivyo ili nisifungamane na upande wowote." Alifanya vizuri au alichemka?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaonesha kam yeye ni mnafiki. Kivip? unajua kuna watu huw hawakuwag na msimamo. Kaziyak ni kuangalia maslahi yak binafsi. Alifikir je nikiung CCM alafu UKAWA unashinda itakuwa vipi? a nikiunga UKAWA kiisha CCM inashind nitaonekan vip mbel ya wal walio CCM. Kivyang naon ni msaliti tena mroho.

    ReplyDelete
  2. Hongera mwanangu
    Wewe bi msaniii
    Sanaa zako zinauzika sana ukiwa si mpenzi wa chama chochote
    Hongera sana
    Wasanii waliopo CCM njaa na wanatumika tu kwa kampeni za uchaguzi
    Kujaza watu kwenye mikutano yao
    Watanzania si wajinga tunakwenda kuwaona huko bure bure

    ReplyDelete
  3. Lulu mi sikufagilii na wala sikupendi wala sio shabiki wako lakn kwa jibu hiliii...aaah we ni muerevu sana...yani umetoa jibu superb...

    ReplyDelete
  4. Hajiamini,YUKO KIMASLAHI ZAIDI.

    ReplyDelete

Top Post Ad