Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja

Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam waziri wa wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu alisema kutokana na hali hiyo wizara imepiga marufuku matumizi ya vilainishi vinavyotumiwa na baadhi ya makundi yanayo jihusisha na vitendo hivyo.

Mhe. Ummy Mwalimu alisisitiza kuwa serikali imeamua kuzuia vilainishi hivyo kwani vimetajwa kuchochea vitendo hivyo ambavyo nikinyume na sheria na taratibu za nchi nakuongeza kuwa vitendo hivyo nimiongoni mwa sababu inayochangia ongezeko la VVU.

Aidha Mhe. Ummy alisema kuwa kwa sasa serikali inajikita kuhakikisha kuwa inajenga wodi za wazai, kununua vifaa tiba, madawa ya kutosha katika hosptali zake na sio ununuzi wa vilainishi hivyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vilainisha or no vilainishi watafanya tu.

    ReplyDelete
  2. Mwenye habari za yule shoga marufu apa dar AKA davto tumwagie ubuyu wake. anaitwa malkia wa ma gays tanzania.

    ReplyDelete
  3. Hallo kumbe serikali inajuwa
    Kwanini dar na Dodoma
    Sababu viongozi wote wa serikali wako dar na wakati wa bunge wapo Dodoma
    Hallo
    Hata mfanyeje
    Hamtuwezi ngoooooo
    Msijihami Kabisa serikali

    ReplyDelete
  4. hawamuogopi MUUMBA WAO ALIEWAUMBA .HAWATA OGOPA LOLOTE NA NI FITINA WANALETA TANZANIA.ILI WATETEWE NA NCHI ZISIZO NA DINI.INASIKITISHA KUIGA UTAMADUNI USIO WETU.

    ReplyDelete

Top Post Ad