Mrembo Tunda Afunguka Kumwagana na Mwanamuziki Young D

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUUZA nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi.

Akipiga stori na Showbiz Xtra baada ya kumbananisha kuhusiana na tetesi za uhusiano wake kuvunjika kutokana Young D kubaini anatoka na mwanamuziki mwenziye (jina kapuni) ndipo akaeleza kuwa, ishu hiyo haina ukweli ila ameachana na mwandani wake huyo kwa sababu ambazo hawezi kuzianika kwa sasa.

“Hayo ya kutoka na huyo msanii si kweli na kuhusu Young D nimeshaachana, sifikirii kuwa na msanii yeyote na sihitaji mpenzi kwa sasa,” alisema.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. fafanua muuza nyago ni kuuza nini?

    ReplyDelete
  2. Tusiongopeane hapa wewe binti mdogo"eti kwa sasa hivi sina time na mapenzi"unataka kumuongopea nani?Kama unavyojiita"TUNDA"Umepewa hilo tunda na nature ili likifika wakati wake limeiva fresh watu waanze kulipopoa walile uroda kuna vitu vingine mtu inatakiwa afikirie kwanza kabla ya kuropoka hovyo

    ReplyDelete
  3. na nyie wasaniii ni wasanii kweli kila mara kazi yenu ni kumwagana tu wala hamuogopi magonjwa

    ReplyDelete

Top Post Ad