Msanii wa Diamond Atuhumiwa Kumbaka Mrembo Jack Wolper....Jack Wolper Afunguka Makubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Sani la leo jumamosi limemsononesha mrembo Jack Wolper kwa tuhuma za uongo kuwa amebakwa na Msanii wa Diamond...

Mwenye Kayaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:

@wolperstylish - I am so sad kwakweli
Hii sio kuniabisha mimi tu, ni kuaibisha na wanawake wenzangu, sijui kwanini magazeti ya kibongo yanatumia Nguvu nyingi kushusha hadhi ya wasanii wa kike haswa.. Nyie SANI no wonder mmepotea katika soko.. Hivi mlivyokua mnachapa mmefkiria kuna wadogo zangu wanasoma?? Au mama angu na baba angu!
Naandika kwa uchungu kwakua najua ni limtu limekosa kazi ya kutumia kipaji chake na karama yake vyema linaishia kutumia kwa kuniharibia maisha yangu... Tena front page? Tunafany mangapi mazuri hatuingii page ya kwanza hata siku moja,?! Kesho kutwa nafungua biashara mtaona kama wataandika kitu
Ila kwenye ujinga wa kutunga ndo wakwaza
Mnaniuzi na nawahakikishia kama Mungu aishivyo mtaona kwa wanenu pia
Si mmeamua kuniandika mimi hivi!??!
Na kila siku mnafanya hivi
My loves embu nisaidieni niwaambie nini cha zaidi wauaji kama hawa
Kuna uuaji wa aina nyingi... Hata maneno huua jamani, sisi pia tu a mioyo
Dah!
BIG SHAME ON YOU GUYS
Kuanzia alietunga stori, alieidhinisha ichapishwe na mwenye gazeti
Kwanini Mh @paulmakonda hawa wasiwe wanapigwa faini au hata kupelekwa mahakamani?? Manake msamaha hautoshi
Wanaharibu kabisa maana ya vyombo vya habari
Petty and sad
Stupid ...😡😡
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WASHITAKIWE!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Wolper lianzishe dadangu,tutakuwa nyuma yako kwa hali na mali.Ongea kwanza na Waziri husika upate ushauri wake,ukizingatia wote mko chini ya wizara yake,naamini atakushauri vizuri tu maana ni mtu wa watu.

    ReplyDelete

Top Post Ad