Nuh Mziwanda Asema Hawezi Kuingilia Bifu la Shilole na Video Queen wa Video ya ‘Jike Shupa’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya label ya ‘LFLG’, ameiambia Clouds FM kuwa kwa sasa hawezi kuingilia ugomvi usiyomuhusu.
“Wale ni wanawake kwa hiyo zile ni tofauti zao, siwezi kuingilia na siwezi kuongea chochote, yule demu mimi nilimlipa pesa yake ya video akafanya, kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake,” alisema Nuh.

Aliongeza, “Kwa hiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki kujua kwa sababu nimeshamalizana nae. Yale ni maisha yake binafsi siwezi kuingilia,”
Shilole na video queen wa video ya ‘Jike Shupa’ wamekuwa wakitupia vijembe katika mitandao ya kijamii.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Acha hizo NUH kwaiyo ucingemlipa ndo ungeingilia hivi unadhan video queen wako wa JIKE SHUPA akiona ulivyojibu unadhan siku nyingine atafanya Kazi tena Na wewe uwage una think yule Mdada ndo kafanya nyimbo yako ing'are so MPE heshima yake bhana punguza ukali wa maneno khaaa!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad