Sikumdhalilisha Lady Jaydee Kwenye Video iliyosambaa Mitandaoni – Gadner

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Gadner G Habash amekanusha kumdhalilisha aliyekuwa mke wake Lady Jaydee kupitia video ambayo ilisambaa katika mitandao ya kijamii miezi michache iliyopita.
Gadner

Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gadner amesema anaheshimu faragha ya muimbaji huyo wa wimbo ‘Ndi Ndi Ndi’ na kamwe hawezi kufanya kitendo kama hicho.

“Kusema kweli sitaki kulizungumzia suala la Lady Jaydee, naheshimu faragha yake,” alisema Gadner. “Ile issue ilikuzwa na mitandao ya kijamii, na mitandao ya kijamii inajua kutengeneza mambo hata yasiyokuwepo,”

Mtangazaji huyo amesema hana tatizo na mwanadada huyo kwa kuwa kila mtu alisha ‘move on’ na anaendelea na mambo yake.

Katika video ambayo ilisambaa mitandaoni, Gadner alisikika akisema “Na sina neno na yule mtoto wa kike. Nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi,” kauli ambayo ilichukuliwa vibaya na watu wengi.

Chanzo:Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. boya wewe gadna,unafikiri unaongea na nani?ata mtoto mdogo anaelewa ulikuwa unamaanisha nini kama siyo kumdhalilisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimesoma na mwanae,ninamuheshimu sana lakini kwa neno lile hata mimi nilikereka sana jamani.Mungu amsaidie maana kwa jinsi anavyoongea ni kama kagundua kuwa alifanya kosa.Tumsamehe.

      Delete
  2. Ule usemi wa mtu mzima ovyo unawahusu wote. JD naye pia alimprovoke na ndi ndi yake. Hapo ngoma draw.

    ReplyDelete
  3. hata jidee hakumaanisha kumuimba Gadna kuwa yeye ni chizi asopona.

    ReplyDelete
  4. hahaha utaisoma mwenzio amepata mzungu mwenye kumjali.ndi ndi ndiiiiii.

    ReplyDelete
  5. unajitetea tu hakumtendea hakikabisa!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad