Vyeti ni gonjwa kwa watumishi, wengi wahaha kutangaza vimepotea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati serikali ikiendelea kuhakikisha vyeti kubaini watumishi wasiokuwa na sifa, watu wengi wamejitokeza kutangaza kupotelewa na vyeti magazetini

Katika kipindi ambacho taasisi mbalimbali zinaendelea na zoezi hilo imebainika kuwa siku za nyuma kulikuwa na matangazo ya aina tofauti lakini kwa juzi kumetokea mtiririko wa watu kutangaza kupotelewa na vyeti hali isiyo ya kawaida kwa taifa.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia na Ufundi , Profesa Joyce Ndalichako alisema juzi kuwa serikali itafanya uhakiki wa vyeti katika vyuo na sehemu za kazi.

Naye Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)Godius Kahyarara juzi alitoa waraka akisema wafanyakazi watakaoshindwa kuwasilisha vyeti vyao halisi hawatalipwa mishahara.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Fanya Kweli... Hapa kazi tu... na vigezo ni lazima.. Ikiwemo na Uhakiki katika ngazi zote.

    ReplyDelete
  2. Mama Fanya Kweli... Hapa kazi tu... na vigezo ni lazima.. Ikiwemo na Uhakiki katika ngazi zote.

    ReplyDelete
  3. Bi mkora wacha udaku wengine wana vyeti original
    Kwa kubebwa chuo kikuu utawambuaje hawa ?

    ReplyDelete

Top Post Ad