Zamaradi Kuhusu Mahojiano na Mwanaume Anayejihusisha Mapenzi ya Jinsia Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi aliingia kwenye headlines za kufanya mahojiano na mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Sasa leo July 5, 2016 amezungumza na Ayo TV kueleza kile ambacho alikuwa akitarajia baada ya kurusha mahojiano hayo na kusema….

‘Nilitarajia kwamba kuna watu watakuwa hawanielewi kwa kile nilichokuwa nakifanya na yule mtu, kwahiyo nilijua kwamba kuna aina ya watu ambao ni vigumu sana na kama utakuwa unakumbuka kabla ya kuanza kipindi nilisema najua kuna watu watanikosoa kwa kile ninachokirusha kwahiyo impact imekuwa kubwa’- Zamaradi


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bravo dada yangu
    Tena rudia kwa wengine vile vile
    Nakutakia eid Mubarak

    ReplyDelete
  2. Afadhali yake yeye haelewi kwa kupigwa nyundo kichwani, ataelewa zaidi siku atakuta mwanae wa kiume kapakatwa na mende mla watu, na kuanza kushare wanja naye

    ReplyDelete

Top Post Ad