Barakah Da Prince: Mr Blue anapotaka twende sasa tutafika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Series ya sinema ya Mr Blue na Barakah Da Prince inayomhusu Naj imeendelea, ni zamu ya hitmaker wa Siwezi kuongea.

Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema kuwa hajawahi kuongea kuhusu Blue kumpigia simu Naj na kwamba ni kitu kipya kwake.

“Namuona kabisa yule mwana anataka kukosa heshima, ananikosea heshima halafu anashindwa kurespond heshima ambayo mimi huwaga nampa. Kwahiyo anapotaka twende sasa tutafika huko anapotaka yeye,” amesema muimbaji huyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote huyu baraka da prince analeta ushamba wake kwenye game atapotea, amuache kabyser Hanaga Pigo hizo

    ReplyDelete

Top Post Ad