AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema kuwa hajawahi kuongea kuhusu Blue kumpigia simu Naj na kwamba ni kitu kipya kwake.
“Namuona kabisa yule mwana anataka kukosa heshima, ananikosea heshima halafu anashindwa kurespond heshima ambayo mimi huwaga nampa. Kwahiyo anapotaka twende sasa tutafika huko anapotaka yeye,” amesema muimbaji huyo.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hana lolote huyu baraka da prince analeta ushamba wake kwenye game atapotea, amuache kabyser Hanaga Pigo hizo
ReplyDelete