Belle 9 atinga kambi ya WCB, afanya mazoezi na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya vocalist, Rich Mavoko kusaini WCB ya Diamond, huwenda msanii wa muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 na yeye akasaini ndani ya label hiyo.

Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Bugger Movie Selfie’ ameonekana akifanya mazoezi ya bendi ya Diamond katika ofisi za WCB.

Kwa mujibu wa kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Belle pamoja na Diamond wameonekana wakiimba wimbo ‘Mdogo Mdogo’ kwa pamoja huku wakicheza.

Hatua hiyo imefufua matumaini mapya kwa mashabiki wa kumuziki kuona huweza WCB ikamsaini msanii hiyo kama ilivyofanya kwa Rich Mavoko.

Kwa sasa label ya WCB ina wasanii wanne, Harmonize, Rich Mavoko, Raymond aka Rayvany pamoja Queen Darlin.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo la hawa wasanii wetu kwa mfano rich mavoko Tangu kusaini WCB ukisikiliza nyimbo zake zimepoteza ile uniqueness yake. Sasa Ana sound na mziki wake umefanana kama harmonize. Kwa kifupi nyimbo zinafanana fanana Japo maneno tafauti.

    ReplyDelete
  2. uniqueness kitu gani watu wanaangalia mziki unaopendwa na mashabiki kisha wapige hela......kalaga baho na uniqueness yako

    ReplyDelete

Top Post Ad