Breaking News: Chadema Yatangaza Kuhairisha Operesheni UKUTA...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo Msikilize Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBOWE KWA KUNOGESHA CHUMVI HUJAMBO.

    ReplyDelete
  2. ACT,ACT,ACT Ndio habari mpya.
    Inaitwa msiempenda kaja.

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa kutii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma wewe katii Nani

      Delete
    2. Weka tusi jipya,hili limeshazoeleka.umetii mbona haupo kuandamana kama hujatii?UKUTA umeanguka.

      Delete
  4. Muelimishe na Lissu namna ya kuongea kama kiongozi,KHAH!

    ReplyDelete
  5. Mmetuweka roho juu,daah afadhali.ukuta-ukuta ndio mbwai kwani?

    ReplyDelete
  6. Wakati mnatuelezea kila siku maendeleo ya UKUTA kwamba hakuna atakae wazuia leo mnakubali kuahirisha kwa sababu ya ushauri wa viongozi wa kidini imebaki siku moja hii haiingii akilini inadhihirisha ni kutafuta kiki na hamna lakufanya mlikuwa kila njama na miujajanja yenu mnafanya mnakuta Magu kawataiti

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAMA UMESHINDA UONGOZI KWA HAKI KWA NINI UTUMIE NGUVU KUVUNJA KATIBA AND KUTOTII SHERIA. NCHI HAIENDESHWI KWA KAULI AU AMRI.NAKUSIKITIKIA SANA SANA WEWE ANONYMITY 4:29PM

      Delete
    2. VIVA jisikitie wewe mwenyewe kwa kutoitambua haki yako jaribu kujiuliza ikiwa Rais ataendesha nchi kwa matakwa ya vichwa milioni 45 nafikiri hata wewe ungetamani ukimbie ukawe mkimbizi ktk nchi za watu kwa nchi inavyo waka moto kwahio haki ya katiba haitafutwi barabarani bali inatafutwa kama inavyosema katiba inavyoelekeza vipi upate haki yako na kila mmoja akiukosoa uongozi kwakutomtii sijui uongozi utatii matakwa ya watu wangapi kuna majizi, mafisadi, wanasiasa wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya watu basi wape haki ya katiba wasichukuliwe hatua usifate mkumbo kama mfuata zumari hujui unakopelekwa kuna shimo au ni masilahi ya mpiga zumari

      Delete
    3. JPJM mchezo hataki!! na ameshasema Hapa ni kazi tu. Vinginevyo ni kwamba hato kuelewa.. Nyooka baba. Ama sivyo atakushughulikia na utanyooka utake au usitake. Kwa hiyo jinyooshe kabla hujanyooshwa... Awamu ni ni ya kumtumikia Mtanzania... na kumletea Maendeleo... HAPA NI KAZI TUU HATA mH WAZIRI MKUU WA iNDIA nARENDRA mODI AMEKUBALI HAPA NI KAZI TUU. SEMBUSE WEWE NA MIMI!! jamani tumuachie Magu afanye vyake !! vyote vya maana!!

      Delete
  7. Hapana chezeya MAGU weweeeeeh, JPM 'amewashika' pabaya! Tumewashtukia mnatafuta 'kick' kivingine, HAMNA JIPYA, MMEISHIWA....hakuna mtu wa kufuata ujinga wenu, watu wote tupo 'bize' na shughuli zetu, hata mateja WAMESTUKA.....mtaandamana na familia zenu........... PIPOOOOZZZ PWAAAAAAAAAH na UKUTA WAKE PWAAAAAA CHINI!! MNAOGOPA NDEGE hahahahah

    ReplyDelete
  8. Bora. ilikuwa mambo mengi mno kwa siku moja. Bora wote tukafanye usafi tu.

    ReplyDelete
  9. Wajameni kumbe kwanza tulikuwa hatuna serikali sasa hivi kila mmoja anafyata mkia Bravo Magu tutanyooka tuu

    ReplyDelete
  10. Towe Na sowe..hizi ndiyo zenu..busara hakuna..kujitafitia Kiki za kirahisi zisizo Na mshiko .ili muweze kujipatia umaarufu WA muda mfupi..mmeuoata Na mmeitua nchi hadara je mnafiliri tutakupeni Kura tena nyinyi hamnazo!! Kwa taarifa yenu Na wanaharakati mnaoeajenga vichochoroni mjue kwamba mbele Ni giza..sijui naeleweka..ila kumbukeni hapa Ni kazi Tu Na Kuna mengi ya maendeleo yanatuhitaji Na siyo kwikwi..mkihutaji maji karibuni ila yasiwafuke shingoni..mliokosa uzalendo Na wacheleweshaji...Hapa Kazi tu

    ReplyDelete
  11. Kaka Mbowe rais hajiamini
    Kabisa kwani. Hata jina lake si jk aliingianalo kimazabwe kamati kuu
    Bado anajifunza jinsi ya kuongea
    Si unajuwa tena mwangaluka Kiswahili kibagomba
    Hata kutoka nje ya nje hataki
    W
    Maswali mengi
    Bado yupo jandoni Msoga
    Mpuuzeni
    Lakini CCM wameipata hata Kama kesho maandamano Hakuna
    So jeshi
    Si polisi wameonyesha hata visivyoonyesheka chezea chadema na ukawa wewe

    Wamefyata

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie ndio mmeufyata,msicheze na moto,mtaungua.
      HAPA KAZI TU JAMANI.-2020.

      Delete
  12. KUANZIA LEO TAREHE 1/9/2016 SAA SITA USIKU NAAPA KUKIHESHIMU NA KUFUATA ILANI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) KWA MOYO NA MALI. CHADEMA WAMENIFUMBUA MACHO KWA KUJUA UKWELI WA MAMBO. VIVA STENA! STENA! STENA JUUUU!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Imba upendavyo,lakini hakuna UKUTA,UPO?

      Delete
    2. PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS,
      PWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

      Delete
    3. Stena Kamwene mama! Hivyo sikuile tulivyokuta kule kwa docta ulipata nafasi ya kumuona au alikupa cheti cha uhamisho manake nilivyopita sikukuona tena! Ni Salama kabisa ? nasikia milembe wanaweza kukusaidia kama bado unahitaji kumuona docta. wewe nitonye kama uko tayali. au nibipu mie nimejiunga kibando cha nusu siku. Utanitaalifu kama uko tiyali.

      Delete
    4. JPJM mchezo hataki!! na ameshasema Hapa ni kazi tu. Vinginevyo ni kwamba hato kuelewa.. Nyooka baba. Ama sivyo atakushughulikia na utanyooka utake au usitake. Kwa hiyo jinyooshe kabla hujanyooshwa... Awamu ni ni ya kumtumikia Mtanzania... na kumletea Maendeleo... HAPA NI KAZI TUU HATA mH WAZIRI MKUU WA iNDIA nARENDRA mODI AMEKUBALI HAPA NI KAZI TUU. SEMBUSE WEWE NA MIMI!! jamani tumuachie Magu afanye vyake !! vyote vya maana!!

      Delete
    5. Stena Kamwene mama! Hivyo siku ile tulivyokuta kule kwa docta ulipata nafasi ya kumuona au alikupa cheti cha uhamisho manake nilivyopita sikukuona tena! Ni Salama kabisa ? nasikia milembe wanaweza kukusaidia kama bado unahitaji kumuona docta. wewe nitonye kama uko tayali. au nibipu mie nimejiunga kibando cha nusu siku. Utanitaalifu kama uko tiyali.

      Delete

Top Post Ad