Matukio Yote Tanzania Yamefunikwa na UKUTA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inaelezwa watu 56 wameuawa kanda ya ziwa lakni hakuna ufuatilaji wala maelezo ya kina. Kuuawa kwa askari wanne nayo sio issue, ahadi za rais, vurugu mkutano wa CUF, bomba la mafuta, ufuatiaji wa mapato ya kila mwezi ya serikali, majipu, mafisadi na mahakama ya mafisadi, vyote ni kama vimepotezwa na UKUTA.

Mitaani ni UKUTA, media ni UKUTA, kanisani na misikitini ni UKUTA, serikali na vyombo vya dola UKUTA, sokoni, shuleni na hospitali UKUTA, bbc, cnn, cctv nk

UKUTA, UKUTA, UKUTA! Haijawahi kutokea. Je upo kweli? Nini athari yake?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HI ni scandaly ya CCM
    haijawahi tokea Tanzania
    Nafikiri si UKAWA pekee Yao kuna mkono wa wana CCM pia hapa
    Ukiburi na bubu wa serikali utaleta mtafaruku
    Shida ni nini
    Nafikiri sasa tumejifunza tuchaguwapo viongozi tuanze kuwajuwa historia zao
    Tanzania haiwezi kuwa hivi
    Lazima tuendane na wakati
    Wanasiasa ongeeni jamani
    Msiwaachie polisi na wanajeshi


    ReplyDelete
  2. Hakuna Athari hapa. Hii iwe kama fundisho kwa Watanzania wote. Sabanu haya uliyoyatamka kama yamefunikwa ndicho chanzo cha ukuta. mnapoandika tafadhali andikeni ukweli halisi wa mambo.Haya mambo yamefunikwa na serikali yenyewe na si Ukuta. Ukuta inahoji mambo yenye misingi mikuu. Inabidi serikali iache kupuuzia. Ni mambo muhimu sana kwa Taifa hili.Ukuta Inauliza kwa nini Watanzania wananyimwa uhuru wa kutatua mambo yao wenyewe. Kuna Mamilioni ya Watanzania vijijini mpaka mijini. Ni haki yao kukaa chini kujadili matatizo na maendeleo yao. Ni haki kukubali wanapoona ni sawa na kukataa wanapoona si sawa. Ni haki na uhuru wa kila mwananchi. Si Raisi, si mkuu wa mkoa pwani. wala mkuu wawilaya. Ni hawa viongozi ndio walioshiriki kuipotosha Tanzania kielimu, kiuwekezaji, kilimo, Enniromenal( mazingira). Wametoa maamuzi kutoka ngazi za juu na kumfunika mtanzania mwenye haki. Ilichukua muda mrefu Watanzania kulalamikia serikali kuhusu ardhi zao, Wanyama tembo kuuawa, uuzaji meno ya tembo kwa vibali toka ngazi za juu.Madini kuchukuliwa bure kwa ndege bila kuchekiwa mpaka michanga. Leo tuanalia Umaskini, Hospitali, maji safi ya bomba, mashule ya makuti, ajira chache, umaskini, na bila madawati, Miaka hamsini baada ya kupata uhuru. Ukuta inaaamsha watu kuuangalia, kufikiri, kutendewa haki kwa mafisadi watawala wabovu.Ingepitishwa elimu mbadala kwa kila mtanzania akajua namna ya viongozi wetu wanavyotutawala , kutulia mali zetu, huku wakipeana kindugu, kiurafiki na kwa watu wageni kwanza kabla ya Mtanzania aitwaye maskini ambaye ndiye mmiliki wa mali hizi Watanzania wote mngeuunga Ukuta. Ni haki yenu kudadisi. Ni nani aliruhusu. Mbona yupo huru.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kudadasi nini mpumbavu wewe hujui hata unachoongea. Akili yako ni finyu kabisa. Shika jembe ukalime acha uzembe wa kukaa hapo na kubwabwaja bwabwaja na usichokijua. Kwani nani haelewi kama hao UKUTA wanatumiwa na mafisadi ambao hawanma pa kutokea???????

      Delete
  3. kawe mwandishi wa habari tutolee ujinga wako hapa mlizoea Rais anayecheka cheka mkamkaa kichwani hakuna kulemba ni kasi tu, inavyoonekana kuna ndugu yako katumbuliwa na bado mpaka tunyooke na tuachane na mfumo mmbovu

    ReplyDelete
    Replies
    1. una subiri cheo bado ana nafasi nyingi tuuu
      sema sema kunguru mweusi wewe

      Delete
  4. wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeetu hao maandamanosi wakaandamane k enye nyumba zao na watotowao na wake zao

    ReplyDelete

Top Post Ad