Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Adaiwa Kukamatwa na Polisi Leo Asubuhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri na anashikiliwa kituo cha kati.
Sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili watu walilitegemea kukamatwa raia wasio na hatia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo hana tofauti na wahalifu sugu na wauaji. Alitoa maneno ya kashfa dhidi ya Polisi waliouawa. Ni lazima awajibike.

      Delete
  2. Ccm kama mnashindwa kuendesha nchi acheni. Baada ya kujua mngeanguka na Kikwrte kumleta kinguvu Magufuli, mkijua wote ni mafisafo mkitrgemea kumweka atakayewatetra na muwalinda mkashindwa. Kumkamweka kinguvu nyapara. Mkampa masherti makali kumfundisha utii. Huwezi kuzima moto kwa mafuta mazuri. Walioinyonya Tanzania ni wanaccm. Mmewapa kinga na bado mfumo ni ule ule. Moto hauzimiki unazidi kuwaka. Watendeeni haki watanzania. Hata mkiungwa mkono na wapumbavu, wajinga na wasoo na elimu, huu ulokuwa ni mpango wenu. Lakini kuna watu wenye elimu, wanasheria, wenye uchungu na nchi yao , hata mkiwaua, damu zao zotawakaba makoo. Hata mkiwakanyaga na matrector, wataamka tu na kuwatokeeni usingizini. Mmepotosha nchi kubalini. Hata mkitumia nguvu za vyombo kama jeshi au polisi, ukwrli no kwamba hata nyonyo hamko salama. Kama hamjiheshimu, mna watoto, vijikuu, mwa namna mmoja au nyingine, toeni ukwrli na woga mliepushe Taifa, maskini, wanawake wadio na hatia. Toeni ukwrli wa mambo badala ya kusikiliza ya nje. Ni watu weusi, nchi ya watu wazuri, shupavu, wrnye upendo. Ndiko bimadamu wa kwanza alitoka. Mliopitia ni mapito. Tanzania Afrika nicho chanzo na mwisho wa uhai. Sasa msiliachie taifa wala bara la afrika ambayo ni kesho ya dunia yote kwa wajinga. Africa, Tanzania ndio chimbuko la maendeleo na uhai wa ulimwengu. Kwa wsle wadiojiheshimu, wasiojua hili tafadhali sana msilipeleke Taifa letu kwa watu wadio na mioyo, wasio na dini, wasio na upendo, wasio na ubinadamu. Binadamu alitokea hapa na watu wana wivu. Wanakimvia kwao wakijua tanzania inathamani. Viongozi wetu bado wapo gizani na hawana soni wala aibu wala majuvuno wala uzalendo. Wako tayari kuua mtanzania kujiwrka tayari na beberu na bepari. Naipenda nchi yangu imenibidi niandike makali kwa wakati huu ili watanzania warlewe. Tanzania na moyo wa watanzania usiuzwe kwa vijichenji. La hasha..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unalia na CCM nchi hii sio ya CCM unahaki ya kuunda chama chako kikawa na nguvu kuliko CDM na UKAWA na kuing'oa CCM madarakani tukuone na wewe utapotupeleka labda utakuwa raisi mzuri kuliko Magufuli lakini ni shida sisi wabongo imekuwa tabu kujua kusoma na kuandika bora tungeachwa hivi hivi na nchi ingetulia maana Tanzania ya leo kila mmoja mwanasiasa

      Delete
  3. Mtawakamata wangapi kuficha ukweli. Hii inashangaza taifa. Taifa letu teule limeingiliwa na majitaka.

    ReplyDelete

Top Post Ad