Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Aibiwa Simu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makubwa haya
    Sijawahi sikia
    Wazuri, RC,DC
    Kaibiwa simu pamajo na walinzi wote hao
    Tena hii itokee DSM
    Haya yetu macho mwaka huu na awamu hii tutaona na kusikia mengi

    ReplyDelete
  2. Ana pesa
    Mtu katoa msaada bakwata billion 5
    Jana mpango wa makonda hospitali kubwa dar billion 8
    He he yote kisa jiji lipo chini ya ukawa
    Salome Kaganda Makonda katoa wapi pesa hiiii
    Kulikoni au kuulizwa ni Lowassa na Sumaye wenye vijisenti????????????

    ReplyDelete
  3. Hahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahhahhahahaha vituko vya awamu hii ni barida,haya simu yaibiwaje na macctv yote na walinzi wote na milango ya kufa mtu?duu ni shida aise,poleyake

    ReplyDelete
  4. Oops alikuwa busy toilet simu ukaibiwa?

    ReplyDelete
  5. Hahahhahahhahaah hihihihihihihi huuuuuuhuuuhuuu...ndo kilichobaki sasa

    ReplyDelete

Top Post Ad