AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kufuatia kuuawa Askari Polisi wanne jana baadhi ya watu hasa mitandaoni walionyesha kufurahia jambo hilo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Awamu hii ya tano Ina vishindo
ReplyDeleteMwigulu umekuwa polisi mbona mavazi yako hayana cheo ?
Umsiwige Nyerere alipovaa nguo za JKT
It's was that time we have only one party
Na katiba bubu
Haingiliiiiiii kichwani eti waziri wa mambo ya ndani kuvaa nguo za kijeshi
Je waziri wa Elimu avae sare ya wanafunzi wa sekondary
Sare za kijeshi zina heshima yake
Wewe u waziri si mwana jeshi
Watashitakiwa kwa kifungu gani cha sharia?? Nielimishe.
ReplyDeleteHili suala lingefatiliwa kwa makini ili kuwabaini wauaji halisi na lengo lao lakini tukisema mambo ya kisiasa itakuwa bado tupo kwenye mtihani mkubwa. Maana mara nyingi polisi wamekuwa wakiawa toka enzi za JK hadi sasa, inawezekana hawa watu wana malengo mengine ila wanatumia mchafuko wa kisiasa kuwachanganya polisi!!
ReplyDelete