AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Video na wimbo vyote vitatoka pamoja, kwa mujibu wa Barakah.
“Video itatoka kwenye exclusive MTV Base kabla ya kituo chochote,” Barakah alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ.Hivi karibuni Alikiba pia alishoot video yake mwenyewe na ile aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz nchini Afrika Kusini.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK