AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Byinyi ni wavivu na mkirudi basi muwajike, ipasavyo. na Posho zile mlizoingia mitini zimeshakula kwenu. na wala msituibie tena. Leteni hoja za kujenga na sivinginevyo.. anaerudi aoneshe uzalendo wa hali ya juu na awajibike ipasavyo na Ajiheshimu kabla ya kuheshimiwa na Lugha pia iwe ni ya busara na siyo ya kihuni au ya vichochoroni.. kama mlidhihirisha na kujidhihirisha hapo awali.. Tanzania yetu mpya inawahitaji waadilifu/waaminifu na wachapa kazi wenye usongo wa kujiletea maendeleo chini ya awamu yetu hii ya Tano ya Baba JPJM. utatia saini mahudhurio na utahudhuria kimwili na kiakili mpo !! Hapa Kazi tu,
ReplyDeleteByinyi ni wavivu na mkirudi basi muwajike, ipasavyo. na Posho zile mlizoingia mitini zimeshakula kwenu. na wala msituibie tena. Leteni hoja za kujenga na sivinginevyo.. anaerudi aoneshe uzalendo wa hali ya juu na awajibike ipasavyo na Ajiheshimu kabla ya kuheshimiwa na Lugha pia iwe ni ya busara na siyo ya kihuni au ya vichochoroni.. kama mlidhihirisha na kujidhihirisha hapo awali.. Tanzania yetu mpya inawahitaji waadilifu/waaminifu na wachapa kazi wenye usongo wa kujiletea maendeleo chini ya awamu yetu hii ya Tano ya Baba JPJM. utatia saini mahudhurio na utahudhuria kimwili na kiakili mpo !! Hapa Kazi tu,
ReplyDeletePumbavu wewe
DeleteNdungai karudi mtu mwenye busara siyo lile kinda Kama wewe
Fyuuuuuuhh
Unanuka nenda kachambe
Pongezi kwa viongozi wa dini kusaidia kurejesha sauti za wananchi ktk mhimili wa bunge.
ReplyDeleteHata msiporudi hakuna kitakacho haribika......who are you by the way!!!
ReplyDeleteNa hata kama mkirudi hakuna jipya kwenu, kwani wakati mliposusa kuna kitu gani kilichopungua?? Bunge liliendelea kama-kawa, miswada ilipita, bajeti zimepita etc. etc. Aibu yenu tu hamna lolote......muheshimiwa Mrema aliwapa kweli yenu kwamba anayesusa ni MWANAMKE.......mnasingizia viongozi wa dini, mbona hilo la kuvunja ukuta mmelikataa......nyie shikeni ukuta, lakini msisahau VILAINISHI.....HAPA KAZI TU!
lazima warudi ,posho watapata wapi.mbona wamekubari kurudi haraka chezea posho wewe,mugomo waliofanya walikosa uungwaji mkono sababu za kijinga kabisa.lini ulisikia vikao vinafanyika ,
ReplyDelete