Zamaradi: Kumhoji Shoga Clouds TV ilikuwa ni Ushindi Kwangu, Sijutii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazji wa kipindi cha Take One cha Clouds Tv amefunguka na kusema hajutii kitendo kitendo cha yeye kumhoji shoga kwenye television na kusababisha 'outrage' kutoka kwa wadau mbalimbali mtandaoni na hadharani
Anasema kipindi hicho ndio kiliwafungua watu na kujua kuwa kumbe kuna tatizo kama hili linaendelea Tanzania na serikali ikaanza kufumbua macho na kuanza kutoa matamko
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nooo sio kweli unajifariji tu!!!

    ReplyDelete
  2. Kipindi nakitaka urudie tena Mimi ntakuja na story mpya true documentation
    Picha na hadithi nzima ya maisha yangu ya ushoga
    Ntawataja wengi
    Wengine hata hafikirii wala kuzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah you have started this since u were young au

      Delete
  3. sasa anahojina na kaoge mburu kenge si angehojiana na makomamdo wenyewe kama queen Davto anaye kunyoosha hata kama ulikuwa straight lazima utanyoka tu. yani huyo ndiye queen wao.

    ReplyDelete
  4. Hakuna ulicho kikosea kumuhoji,tatizo la watanzania wengi hatutaki kusema ukweli.
    Nina maswali haya:
    Je Tanzania kuna mashoga.
    Kuna tofauti gani kwa mwanamme anaye muingilia mwanammke nyuma ( Badala ya mbele)
    Mbona tunaona picha za mastaa wa kike waki busiana na wanawake wenzao!!
    Mna mshambulia mtangazaji wawatu bure.Badalaya kuangaika na maisha mna jiangaisha na mabo madogomadogo.
    ujumbe ndio huo.
    JB

    ReplyDelete

Top Post Ad