Atumia Asali Kufanya Sehemu Nyeti Kuwa Ndogo na Kubana, Nyeti Zaoza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nawaletea Kama Nilivyotumiwa:

Miaka 3 iliopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana nawashwa sana ukeni, hospitali wanasema ni fungus, natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale, nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote, uchi unawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo lingine.

Kila ninapofanya tendo ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed, kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa, ikabidi watoe kinyama ndani na kufanya vipimo, majibu yalipotoka wakasema hakuna kansa lakini tatizo linazidi kuongezeka siwezi tena kufanya tendo la ndoa lakini madaktari katika vipimo vyao wakagundua ndani ya uke kwenye mlango wa kizazi kuna wekundu mwingi sana, badala ya rangi ya pink kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo inashambuliwa sana na bacterial wasiosikia dawa, wakajaribu kupeleka dawa hapo kwenye hilo eneo lililoathirika bado ilishindikana kuwaua walikuwa bado wanaonekana wanashambulia, ikabidi madatari muhimbili waniulize jinsi ninavyofanya usafi katika uke wangu, nikawaeleza ukweli nilichokuwa nafanya.

NASAFISHA KWA KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI NA PAMBA NDANI ILI UKE UWE UMEBANA NA VINGINE VINGI TU, TUNAVYOSHAURIANA WASICHANA.(VIUNGA ****) madaktari wakaniambia sababu ya matatizo yangu ni nimeua bakteria wote ambao ni walinzi ndani ya uke ndio maana uke wangu umeshambuliwa sana sana na bacteria ambao hawasikii dawa.

NDUGU ZANGU MAKUNGWI WENZANGU, LEO HII NALIA PEKE YANGU NILIKUWA NIKIUNGA SANA UKE WANGU KWA VIUNGIO NA NAINGIZA VIDOLE VYENYE KUCHA NDEFU NAINGIZA MPAKA SABUNI ILI KUOKOA MAISHA YANGU MADKTARI WAMESEMA NI LZM WANITOE KIZAZI CHANGU SABABU NIKIACHA ITAGEUKA NA KUWA KANSA HALI YANGU NI MBAYA BADO BINTI MDOGO NATOLEWA KIZAZI MIAKA 29 TUSIKU YA JUMATATU NDIO NAFANYIWA OPERATION YA KUTOLEWA KIZAZI...

NAOMBA MNIWEKE KTK SALA ZENU OPERATION IENDE SALAMA.

....NAWAPENDA WOTE....

TUMA UJUMBE HUU NA KWA WENGINE KAMA MIMI NILIVYOUPOKEA NA KUUTUMA KWAKO! Hata kama we ni mwanaume mfundishe mkeo au bintiyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nenda kanisani kwanza kaombewe ndiyo ufanye hiyo operation.. Madaktari siku zote huwa wanapita short cut kupitia vipimo vyao na elimu yao ya darasani! ila kuna zaidi ya elimu ya darasani nayo ni maombi kwa jina la Yesu. 0688 448117 wengi wamepona. kama kweli upo serious. au mfatilie zaidi wrm tv kwenye star time

    ReplyDelete

Top Post Ad