Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....

Nimekuwekea majibu yake hapa chini:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. malay Malaya tu, ukimwi no ukimwi haijalishi ni Malaya tu.

    ReplyDelete
  2. Unaonyesha mtoto mdogo tu wewe ugekwenda ukasoma ukapata kazi ya maana. sasa unaposema huna ukimwi inamaana wewe siyo malaya au wewe ni malaya ndo unatafuta business.

    ReplyDelete
  3. anapenda huyu dogo balaa

    ReplyDelete
  4. Vipimo vingine vya TZ avihaminiki!! Watu wengi wanapimwa,wanaonekana salama baada ya muda unaona mabega yao yanapanda juu!! Je ulipimwa mala ngapi?? Chamsingi badili tabia yako, mambo ya kuonyeshana vyeti hayana maana yeyote. Pima tena baaada ya miaka 5 alafu uonyeshe cheti chako!!

    ReplyDelete
  5. Ukipata ukimwi sahv umetaka tuu makandom yote hayoooo

    ReplyDelete

Top Post Ad