Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. sasa naona Alikiba anampiku Diamond kwa kila kitu Diamond yeye yupo likizo tu sababu hana kitu cha kufanya sasa hivi, huu ni muda wa Alikiba the king is back!

    ReplyDelete
  3. sasa hivi naona Diamond ameanza kufulia mpaka atarudi kwa kina Wema, maana naona Zari sasa atahamisha makazi yake kwa Alikiba amzalie na watoto

    ReplyDelete

Top Post Ad