AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , Mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.
By Arovera
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huo uswahili wao ndo unaowapa usupa staa
ReplyDeleteMnavyomtukana mnaona raaaha, ndo kawajibu sasa. Halafu wewe yaelekea unahasira na Wema unaona umuunganishie huyu mama. Tanzanians Grow up, huyu mama hatukanagi ovyo, muheshimuni muone kama atatukana. Msitake Kiki za kumkosanisha na mwanaye
ReplyDeleteMnapenda kusema wazee wa wenzenu tuu yale yote unayoyaona yeye wala si msemaji
ReplyDeleteUnamuonea Donge tuu
Napenda anavyowajibu mnapompigia simu za kimbea.she is so beautiful too.
ReplyDeleteushauri wa bure kwa mama diamond mwachie mtoto apendacho yeye, sio wewe upendacho!!
ReplyDeleteTena huyo zari ndiyo asiongee kabisa na hivi amezaa watoto wa kiume na mambo anayoyafanya mbele ya watoto wake!!! watamdharau sana hapo baadae na hata wanaweza muomba uroda maana wanamuona malaya tu!! kama ameweza kutembea na mtoto mdogo kiasi hicho kwake atashindwa nini kufanya mengine!! so wamuache mama Mondi amwambie Mondi chochote atakacho na apendacho mlimsaidia ubereko nyama nyie.
ReplyDelete